Ama kweli watu wamechafukwa

kichomiz

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
19,011
11,942
FB_IMG_1550346291745.jpg
 
Hakuna uongozi au serikali itaepuka kusemwa au kukosolewa. Wanachokosea ni njia wanayotumia kupambana na hii hali.
Wakiwaacha watu wakasema wao wakajikita kutatua kero na kufanya mambo kwa mpangilio, watapunguza matatizo mengi na makelele ya wananchi wenye hasira.

Ni kweli sikufurahishwa sana na huyu jamaa wa nyumbani alivyotyumia nafasi yake alipokuwa madarakani lakini kumuombea mabaya sio uungwana, kwa ufupi kufurahia adui yako anapokua matatizoni hakuna faida yeyote.
 
Hahahahahahahahahahh.
Get well soon Punda

Nilicheka sana. Hatuna miaka mingi ya kua na wale wanaoitwa "Intarahamwe". Maana badili ya "inyezi" tunao " nyumbu ila bado intarahamwe. Walianza hivi hivi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom