Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,997
Ndugu zangu,
Ama kweli njaa haina baunsa, Tundu Lissu ''kakaa'' kwa Spika Ndugai
Habari ndio hiyo, waswahili husema ''hakuna mkate mgumu mbele ya chai'' au ''njaa haina baunsa'' ndivyo tunaweza kusema.
Huenda ukimya wa Tundu Lissu kwa wiki chache za hivi karibuni unatokana na huruma ya spika kukubali kufikiria maombi yake ya kurejeshewa mshahara na kupata baadhi ya stahiki. Hii imetokana na Tundu Lissu mwenyewe kukubalia sasa hatakuwa akisema hovyo hovyo atanyamaza kama utaratibu ulivyo wakati wa kula hutakiwi kuzungumza.
Kimsingi kwa mkondo wa kimahakama mambo yangekuwa mabaya ndipo ikabidi akiri makosa na kumuomba Komredi Ndugai, si yeye peke yake bali familia na ndugu na jamaa kwani iligundulika hana kielelezo cha kupeleka mahakamani kama alivyokuwa Nassari. Sasa kaamua kupambana na hali yake, kwani pamoja na makamanda kupiga zumari la michango hakuna kitu zaidi ya umwamba kwenye ''keyboard''.
Naam mambo yamewiva tutegemee kumuona Lissu mpya asiye na makuu