Ama kweli nchi hii imekaa kifutuhi futuhi, TBC wamtaja Lyatonga Mrema kwa cheo cha Dokta | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ama kweli nchi hii imekaa kifutuhi futuhi, TBC wamtaja Lyatonga Mrema kwa cheo cha Dokta

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Dumelambegu, Mar 22, 2011.

 1. Dumelambegu

  Dumelambegu JF-Expert Member

  #1
  Mar 22, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,052
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Haka kanchi sasa kanaelekea kubaya. Ni juzi tu nimesikia Lyatonga Mrema ametunukiwa udokta na jamaa fulani kutoka Afrika Kusini. Sherehe ya kutunukiwa udokta ilihudhuriwa na Mrema mwenyewe na mkewe pamoja na huyo jamaa nae akiwa na mkewe. Cha ajabu leo kwenye taarifa ya habari ya saa mbili usiku mtangazaji wa TBC amemtaja Mrema kama Dr. Lyatonga Mrema. Mambo hayo! Itafika mahali waheshimiwa wote bungeni watakuwa ni madokta. Kwa sasa Mhe. Mrema na Mhe. Mwakyembe sasa ni ngoma droo.
   
 2. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #2
  Mar 22, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  teh! Ndio hvyo MZEE WA MABAKA MABAKA Kapata pHd teh!
   
 3. luckyperc

  luckyperc JF-Expert Member

  #3
  Mar 22, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 496
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  mbona hata ww unaweza kuwa "RAISI" nn udokta.
  :D:D
   
 4. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #4
  Mar 22, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Mimi ni profesere Bigie.
   
 5. only83

  only83 JF-Expert Member

  #5
  Mar 22, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Nadhani TBC1 kuna tatizo la msingi pale.Sisi kama wamiliki wa chombo hiki(kwa maana kuwa ni cha umma)yatupasa kuchukua hatua mapema....mambo yanayofanyika kwa sasa TBC1 ni vituko,kuanzia vipindi na mambo mengine.Nadhani mzimu wa Anko TIDO MHANDO bado unawanyemelea hawa watu......
   
 6. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #6
  Mar 22, 2011
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,670
  Likes Received: 21,902
  Trophy Points: 280
  Mnashangaa nini mbona kuna wabunge ni maprofesa kama Profesa Maji marefu? Katika CCM fani zinadhalilishwa Yakima mfano.
   
Loading...