ama kweli malipo ni hapahapa

Sexer

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
8,216
7,907
Huyu Mungu wa lowassa mbona anamlipia huyu mja wake kwa muda mfupi sana?! afu hapahapa duniani!
e75f1ec1031175f246e0efa972f11478.jpg
 
Shigongo amegoma kuisoma kesha itwakuyazungumza..sisi wa hali ya chini ndo tuisome ..kununua vocha za simu tumeisha isoma #.bado benki,nhif,heslb,vyama vya kuweka na kukopa vyote vinatakiwa vikatiwe kodi...
 
Back
Top Bottom