Ama kweli magwiji wa siasa wameshika hatamu, hakuna mjadala unaodumu

Mara hawa wanadai Katiba Mpya huku Sabaya anakamatwa, kule bei ya mafuta inapanda, huku Diallo anamsimanga mwendazake, mara sijui tozo za miamala zimepanda, sijui wagonjwa wa corona wako kwenye oxygen, haujakaa sawa soko Kariakoo limeungua, sijui nani huko katuma picha zake za uchi. Ni matukio mfululizo, full throttle.

CHADEMA msipokuwa makini mtakuwa mnadandia hoja mpya na kujadili matukio kila siku, maana ma producer wa matukio wanafanya kazi overtime.
Kwahiyo kwa maigizo yanayoendelea hapa TZ unaona CHADEMA ndio wanoathirika, kuliko hao uliowaita Wadanganyika, napendekeza Magufuli Bus Terminal ipigwe moto ili matukio yaendelee, nafikiri kwa hili tutakuwa occupied mpaka mwaka unaisha.
 
Back
Top Bottom