Brighton Nyakusuma S
Member
- Sep 9, 2012
- 43
- 11
Kila kukicha naona siku za CCm kushika hatamu zinahesabika. Matukio yanayojitokeza nchini kwetu kila kukicha zinaonesha dhahiri kuwa ni maji ya shingo kwa wenzetu hawa. Pamoja na jitihada zooote za kupotosha umma bado watu wengi wameshindwa kukiamini tena chama hiki kilichochakaa. Masalia yake yamebaki oooooh ukanda , ooh ukabila, oooh ugaidi, ooooh zzk ni jembe , ooooh uenyekiti, oooh mtei, oooh ruzuku n.k. Hoja yangu ni moja tu ninayohitaji ijadiliwe jamvini kama inawezekana nayo ni "kuna hoja baadhi ya watu hujadili kuhusu harambee za cdm katika baadhi ya mikutano yake ya hadhara kuwa ni haramu, swali langu ni je? fedha hizo za cdm na zile zinazoliwa na mafisadi wa ccm ni zipi haramu? au ndo ile mambo ya matembezi ya mshikamano na maandamano':closed_2: