Ama kweli Maccm sikio la kufa.......

Sep 9, 2012
43
0
Kila kukicha naona siku za CCm kushika hatamu zinahesabika. Matukio yanayojitokeza nchini kwetu kila kukicha zinaonesha dhahiri kuwa ni maji ya shingo kwa wenzetu hawa. Pamoja na jitihada zooote za kupotosha umma bado watu wengi wameshindwa kukiamini tena chama hiki kilichochakaa. Masalia yake yamebaki oooooh ukanda , ooh ukabila, oooh ugaidi, ooooh zzk ni jembe , ooooh uenyekiti, oooh mtei, oooh ruzuku n.k. Hoja yangu ni moja tu ninayohitaji ijadiliwe jamvini kama inawezekana nayo ni "kuna hoja baadhi ya watu hujadili kuhusu harambee za cdm katika baadhi ya mikutano yake ya hadhara kuwa ni haramu, swali langu ni je? fedha hizo za cdm na zile zinazoliwa na mafisadi wa ccm ni zipi haramu? au ndo ile mambo ya matembezi ya mshikamano na maandamano':closed_2:
 
ZeMarcopolo

JF-Expert Member
May 11, 2008
14,007
2,000
Mrema aliweka historia kuwa kiongozi wa kwanza wa upinzani kubebwa na kusukumwa kwenye gari.

Slaa ameweka historia kuwa kiongozi wa kwanza wa upinzani kurushiwa mawe na kufukuzwa jukwaani kwa mabango.

Lipumba aliweka historia kuwa kiongozi wa kwanza wa upinzani kupewa kibano na polisi.

Slaa ameweka historia kuwa kiongozi wa kwanza wa upinzani kuwaamrisha polisi wawadhibiti wananchi na kuokolewa na kuhifadhiwa na polisi ili asidhuriwe.

Haya yote ni maendeleo...
 
ama kweli mnalipwa posho kubwa mie nilijaribu tu nione lb7 kama mmelala kumbe uko macho ,ok andika kumbukumbu kwenye note book yako usisahau ili kesho usipunjwe posho maana hiyo ni extra working time.
 
Uledi

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
588
1,000
Mrema aliweka historia kuwa kiongozi wa kwanza wa upinzani kubebwa na kusukumwa kwenye gari.

Slaa ameweka historia kuwa kiongozi wa kwanza wa upinzani kurushiwa mawe na kufukuzwa jukwaani kwa mabango.

Lipumba aliweka historia kuwa kiongozi wa kwanza wa upinzani kupewa kibano na polisi.

Slaa ameweka historia kuwa kiongozi wa kwanza wa upinzani kuwaamrisha polisi wawadhibiti wananchi na kuokolewa na kuhifadhiwa na polisi ili asidhuriwe.

Haya yote ni maendeleo...Acha unafiki. Unajifanya haujui jinsi Kikwete alivyopopolewa na mawe kule kijijini Chunya? Rais wa nchi unapigwa na wanavijiji! Bora angepopolewa mjini sio kijijini.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom