Bongolander
JF-Expert Member
- Jul 10, 2007
- 5,067
- 2,197
Wakuu kama uvumi wa JK kuanguka Ikulu ni wa kweli, nashauri rais wetu aapishwe akiwa amekaa. Sidhani kama ni kosa kufanya hivyo. Au ni vizuri sherehe hiyo ikifanywa kisirisiri au iwe extra short na wageni wasialikwe. Otherwise kutakuwa na matatizo. Ni pendekezo tu.