Am worried kama JK atasimama wakati wa kuapishwa, itakuwa vizuri akiapishwa amekaa

Bongolander

JF-Expert Member
Jul 10, 2007
5,067
2,197
Wakuu kama uvumi wa JK kuanguka Ikulu ni wa kweli, nashauri rais wetu aapishwe akiwa amekaa. Sidhani kama ni kosa kufanya hivyo. Au ni vizuri sherehe hiyo ikifanywa kisirisiri au iwe extra short na wageni wasialikwe. Otherwise kutakuwa na matatizo. Ni pendekezo tu.
 
Ningependa kupata ufafanuzi zaidi hapo kwenye red.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom