Am tired of this, please help

Nyakwaratony

JF-Expert Member
Dec 21, 2011
573
140
Hi everyone!

Kwa takribani miezi minne nimekuwa nikijihudumia mwenyewe, the reason behind ni kuwa boyfriend wangu yuko busy kiasi kwamba napata penzi kwa mgao. I don't like to cheat on him, but naona kama ananilazimisha vile. Nimegundua njia mbadala, je ina madhara? Sio kwamba sitongozwi ila naogopa sana kutendwa na kuanzisha new relationship dah ni ngumu jamani.

Naomba msaada wenu
 
Sijaelewa
Chenga tupu

Hujaelewa nini, ana masterbate!!!!!!!!! Manake mpaka muambiwe vitu black and white! Maneno yakiwekwa kwenye mabano kidogo mshapotezwa!

BACK TO TOPIC! NI DHAMBI HICHO KITENDO!!!!!!!
 
ana sound serious..!
Elezea vizuri binti, kuna ma doctor hapa.
 
Hujaelewa nini, ana masterbate!!!!!!!!! Manake mpaka muambiwe vitu black and white! Maneno yakiwekwa kwenye mabano kidogo mshapotezwa!

BACK TO TOPIC! NI DHAMBI HICHO KITENDO!!!!!!!

Nashukuru baadhi yetu vilaza

Back to topic!

lara 1 unamsaidiaje sasa shoct hapo?
 
Last edited by a moderator:
Hujaelewa nini, ana masterbate!!!!!!!!! Manake mpaka muambiwe vitu black and white! Maneno yakiwekwa kwenye mabano kidogo mshapotezwa!

BACK TO TOPIC! NI DHAMBI HICHO KITENDO!!!!!!!

ahaa,. Kumbe ni hivyo,.

Basi aendelee kuliko kumcheat mwenzake!!

Sidhani kama anapungukiwa kitu,..
 
Hujaelewa nini, ana masterbate!!!!!!!!! Manake mpaka muambiwe vitu black and white! Maneno yakiwekwa kwenye mabano kidogo mshapotezwa!

BACK TO TOPIC! NI DHAMBI HICHO KITENDO!!!!!!!

je kiafya kuna madhara yoyote kwa wadada.....just curious..!
 
Hujaelewa nini, ana masterbate!!!!!!!!! Manake mpaka muambiwe vitu black and white! Maneno yakiwekwa kwenye mabano kidogo mshapotezwa!

BACK TO TOPIC! NI DHAMBI HICHO KITENDO!!!!!!!

Sasa nitumie njia gani nikizidiwa best?
 
Sio njia nzuri japokuwa haina madhara kwa mwanamke huyo bwana vunja ukimya nae ujue nin tatizo usikute unasubiri meli nchi kavu
 
Dada angu nimeshaongea mpaka najiona namkera hivi, kuliko kutafuta magonjwa ni bora nitumie njia hiyo! Pia naogopa sana kuumizwa, yaani huwa naumia kikweli kweli. Ngoja nisubiri labda atabadilika.
 
Hi everyone!

Kwa takribani miezi minne nimekuwa nikijihudumia mwenyewe, the reason behind ni kuwa boyfriend wangu yuko busy kiasi kwamba napata penzi kwa mgao. I don't like to cheat on him, but naona kama ananilazimisha vile. Nimegundua njia mbadala, je ina madhara? Sio kwamba sitongozwi ila naogopa sana kutendwa na kuanzisha new relationship dah ni ngumu jamani.

Naomba msaada wenu

unajihudumia kivip?kingono ama kifedha?
 
Hujaelewa nini, ana masterbate!!!!!!!!! Manake mpaka muambiwe vitu black and white! Maneno yakiwekwa kwenye mabano kidogo mshapotezwa!

BACK TO TOPIC! NI DHAMBI HICHO KITENDO!!!!!!!

bora umenielewesha,...mbona kwa mwanamke unaweza kuvumilia kwa muda mrefu tuu..
,..tena kumbe ni boyfriend na sio mume!!..
...usijiendekeze kwa kuwaza sana sex mwaya..
 
Najitahisi mwaya, ila naona nashindwa. Nimezoea walau kwa mwezi mara mbili.
 
Hujaelewa nini, ana masterbate!!!!!!!!! Manake mpaka muambiwe vitu black and white! Maneno yakiwekwa kwenye mabano kidogo mshapotezwa!

BACK TO TOPIC! NI DHAMBI HICHO KITENDO!!!!!!!

mwanamke ana masterbate vp au mm mshamba??
 
Hujaelewa nini, ana masterbate!!!!!!!!! Manake mpaka muambiwe vitu black and white! Maneno yakiwekwa kwenye mabano kidogo mshapotezwa!

BACK TO TOPIC! NI DHAMBI HICHO KITENDO!!!!!!!

Ila kunjunjana sio dhambi!?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom