Am sorry my baby Wa jf! Moneytalk!!

Aisee. Nishawahi waza kitu kama hicho hatimaye kimekuwa kweli.

Katika hizi interview lazima yatakuwepo kati ya haya kama sio watu kupata wapenzi wapya,kuna kuachwa, kuna kukejeliwa siku ukitibuana na mtu kwa sababu ameshakujua kwa asilimia fulani.

Pole sana Muosha Rungu.
 
Ndo matokeo haya. Kila kitu kina faida na hasara. Watu wanatumia udhaifu uliouanika hapa wanageuza fimbo kukuchapia.
 
Thanks my sister
Tia neno basi kwa my dear!

DJ sepetu
 
Ndo matokeo haya. Kila kitu kina faida na hasara. Watu wanatumia udhaifu uliouanika hapa wanageuza fimbo kukuchapia.
Umeonaee. Ndio mana sitakagi hizo mambo swahiba mana. Nshajifunza aisee.

Sina hamu.
 
Njoo nikupime mkojo kwanza then majibu yakitoka nitamruhusu Dada money talk akubali kukusamehe

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Umeonaee. Ndio mana sitakagi hizo mambo swahiba mana. Nshajifunza aisee.

Sina hamu.
Kwa upande mmoja hazina ubaya unachotakiwa kujua ni unazungumza nini, wapi na nani unayezungumza naye.
Ukishindwa Kujua hayo utajikuta unabwabwaja hovyo tu. Mi
 
Back
Top Bottom