Am soooo tired of being lonely

Spot on.

Nadhani Kibali atakuwa amekupata vyema, uzuri si kila kitu.

@ Kibali: Kutokuwa katika mahusiano sio mwisho wa maisha, it might be a disguised blessing.

....definately, a chance to be alone with GOD!!!

Last edited by a moderator:
Kibali, hili suala lako liko complicated sana, kutokutongozwa kunaweza kusababishwa na mengi mno;
Mtazamo wa wanaume walio ktk mazingira unayopatikana, labda unajiremba (siliba) sana au kinyume chake,(amini usiamini kuna wanaume ambao kwa mfano mdada kuvaa suruali tu wanakutoa kwenye hesabu!) Au labda uko juu sana-unamiliki gari, unatoka na kurudi home vioo tinted! Na wadada wengi mlivyo wachoyo wa kutoa lifti...kisingizio wezi! Home ukiingia gate linafungwa, hebu niambie watongozaji watakupata wapi? Kama wengine walivyosema hapo juu, tuliza akili, be yourself usiigize chochote.
 
Babu nishauri nifanyeje sasa
Kumbe hiki kibabu kiko popular namna hii? Aisee!

Ushauri mdogo tu wa babu.......... Maisha haya ni mafupi mno. Usiwazie mambo ambayo huna uwezo wa kuyahimili. Ukiendekeza, watakuchezea watu mwisho wa siku utakuja kujuta na kusema "Laiti ningeendelea na ule upweke wangu"

Mambo ya mahusiano huja automatically, hayalazimishwi wala hayaombwi.............Kama kuna mtu aliyeumbwa kwa ajili yako, atatokea siku ambayo hutaamini.

Kwa maelezo zaidi napatikana kwenye PM.
 
....definately, a chance to be alone with GOD!!!

amen namuhitaji Mungu zaidi lkn pia anipe wa kuniondolea huu upweke Mbu
 
Last edited by a moderator:
kwanza pole sn najua unachopitia mana na mm nilipita huko, kwanza jipende mana huwezi kupendwa kabla hujajipenda, usijizile, keep urself busy na vitu unavyojipenda, go out with friends have fun, na jaribu kupata marafiki wapya, socialize more, then tambua kwamba wewe ni wa thamani na Mungu alikuleta dunia kwa makusudi si kwa bahati mbaya hivyo basi mpango wake kwako utatimia wakati wake ukifika, usikubali kuwa desperate utafanya maamuzi yasiyo sahihi mana akitokea mmoja na ambaye si sahihi utamkubali just b'se u r desperate, jiamini na muombe Mungu atakupa ur heart desire, there is someone for everyone

asante mocrana mpendwa,nitazingatia hayo kweli sitakubali tena shetani anipe kusononeka mpaka wakati wa Mungu ufike
 
Kumbe hiki kibabu kiko popular namna hii? Aisee!

Ushauri mdogo tu wa babu.......... Maisha haya ni mafupi mno. Usiwazie mambo ambayo huna uwezo wa kuyahimili. Ukiendekeza, watakuchezea watu mwisho wa siku utakuja kujuta na kusema "Laiti ningeendelea na ule upweke wangu"

Mambo ya mahusiano huja automatically, hayalazimishwi wala hayaombwi.............Kama kuna mtu aliyeumbwa kwa ajili yako, atatokea siku ambayo hutaamini.

Kwa maelezo zaidi napatikana kwenye PM.

:photo::photo::focus:
 
Kibali, hili suala lako liko very complicated sana, kutokutongozwa kunaweza kusababishwa na mengi mno;
Mtazamo wa wanaume walio ktk mazingira unayopatikana, labda unajiremba (siliba) sana au kinyume chake,(amini usiamini kuna wanaume ambao kwa mfano mdada kuvaa suruali tu wanakutoa kwenye hesabu!) Au labda uko juu sana-unamiliki gari, unatoka na kurudi home vioo tinted! Na wadada wengi mlivyo wachoyo wa kutoa lifti...kisingizio wezi! Home ukiingia gate linafungwa, hebu niambie watongozaji watakupata wapi? Kama wengine walivyosema hapo juu, tuliza akili, be yourself usiigize chochote.

umeongea kinachonigusa sana ukweli najiuliza kwa nini sitongozwi!kwa sasa nakuwa kny gari lkn hata kabla ya hapo hali ilikuwa hivyo hivyo! Ajabu jamani hata ninapokuwa kny meetings kuna hali ya mwanamke kutakwa au unapokutana na watu wapya lkn hilo silioni! Hata hao niliokuwa nao mwanzoni sana ndo mapenzi yanakuwa juu muda mfupi bdae inakuwa ndivyo sivyo!
 
Kumbe hiki kibabu kiko popular namna hii? Aisee!

Ushauri mdogo tu wa babu.......... Maisha haya ni mafupi mno. Usiwazie mambo ambayo huna uwezo wa kuyahimili. Ukiendekeza, watakuchezea watu mwisho wa siku utakuja kujuta na kusema "Laiti ningeendelea na ule upweke wangu"

Mambo ya mahusiano huja automatically, hayalazimishwi wala hayaombwi.............Kama kuna mtu aliyeumbwa kwa ajili yako, atatokea siku ambayo hutaamini.

Kwa maelezo zaidi napatikana kwenye PM.

asante babu,umesema kweli mahusiano huja automatic lkn kibinadamu najiuliza ni lini?na kibinadamu love is one of the basic needs!Babu inanipa utata lkn kwa mausia yenu nimefarijika na kupata nguvu mpya,pia nimejua kuwa nahitaji kujipanga kimvuto zaidi ingawa Kaizer hanipi somo vzr!
 
Kibali mpendwa, kwanza pole sana. Hatua ya mwanzo kwa sasa ni kuondoa hizo negative thoughts za kuwa uko desperated. Jaribu kil hali kujishughulisha na kile ukipendacho mpaka ifikie wakati wa kujihisi uko normal, wa kawaida. Fikiria kuwa ukiwa uko desperated, unaweza kuangukia katika mtego wa kutafuta yeyote awaye kwa sababu ya shida. Ukiwa na hisia za desperated unaweza kuishia kuwa depraved i.e. kuwa na bad habits. Kumbuka kuwa mapenzi hayatafutwi. Mmoja alishasema, yanakuja normally.

Ukishakujiona kuwa uko normal, (not desperated), fuata ushauri wa wengi wa kuwa more communucative, jichanganye na watu. Anza na marafiki, ndio kimbilio la mwanzo. Hawa watakuelewa, mtabadilishana mawazo. Pia jichanganye na watu wapya, lakini sio kwa lengo la kutafuta wala kujirahisisha. Naelewa uko mtu wa tabia, heshima na malezi mema kwa hiyo hutofikia hatua hiyo. Bado umdogo sana, usikate tamaa. Imani yangu, kama walivyosema wengi, yuko mtu kwa ajili yako, anayekustahiki. Ni suala la muda. I pray God isiwe muda mrefu sana. Good luck dear!
 
asante babu,umesema kweli mahusiano huja automatic lkn kibinadamu najiuliza ni lini?na kibinadamu love is one of the basic needs!Babu inanipa utata lkn kwa mausia yenu nimefarijika na kupata nguvu mpya,pia nimejua kuwa nahitaji kujipanga kimvuto zaidi ingawa Kaizer hanipi somo vzr!
By the time dada yangu anafikisha 34, kila mtu alijua ishakula kwake....... wenzake walimshauri atafute hata kaserengeti boy azae nako kwa kuwa umri ulikuwa unamtupa mkono........ At 36 bila kutegemea akatokea bonge la handsome akabisha hodi............haikupita muda posa then ndoa! She is now the happiest lady in the world! Maisha yamemnyookea mpaka aibu. Wanaishi kwa furaha na upendo mpaka nawaonea wivu. Na watoto wao watatu wanavyonigombea anko wao, basi najisikia furaha badala yake.

Subira huvuta heri...........! Tuliokula chumvi nyingi tumeshuhudia mengi. Andika kumbukumbu ya tarehe ya leo......... Utakuja kunikumbuka!

Take care!
 
umeongea kinachonigusa sana ukweli najiuliza kwa nini sitongozwi!kwa sasa nakuwa kny gari lkn hata kabla ya hapo hali ilikuwa hivyo hivyo! Ajabu jamani hata ninapokuwa kny meetings kuna hali ya mwanamke kutakwa au unapokutana na watu wapya lkn hilo silioni! Hata hao niliokuwa nao mwanzoni sana ndo mapenzi yanakuwa juu muda mfupi bdae inakuwa ndivyo sivyo!

Mimi siamini kwamba hakuna mwanaume hata mmoja wa kukutongoza yani hata wa matani tu???hebu be serious bwana.......inaelekea basi una sura ya dharau hivi maana wengine wanaweza ogopa hata kabla hawajasogea. Inawezekana huna hiyo tabia lakini muonekana wako ukawapotosha!!!
 
Mammamia,asante sana kwa ushauri ulionipa na umenipa moyo wa ajabu,kweli hii thread imenipa mtizamo mwingine tofauti sana mpaka sasa naona desparation inaanza kuyoyoma!najiona wa thamani zaidi na nimejiamini tena!asante kwa mara nyingine tena
 
Asprin babu yetu,umenifurahisha sana yani nasema asante mno!umeniongezea nguvu kwa namna ambayo huwezi jua!shukrani kaka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom