am siriaz natafuta rafiki wa kuchat nae jinsia ya KE na ME,pls! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

am siriaz natafuta rafiki wa kuchat nae jinsia ya KE na ME,pls!

Discussion in 'Love Connect' started by Handsome, Jul 13, 2011.

 1. H

  Handsome Member

  #1
  Jul 13, 2011
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  napenda sana kuchat natafuta rafiki wa kuchat nae jinsia zote pia kubadilishana mawazo,kuhsu maisha na future,nawasilisha!
   
 2. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #2
  Jul 13, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,212
  Likes Received: 3,774
  Trophy Points: 280
  Sasa hivi umedoda au unaendeleza mchezo wako? Ulisema umeenda South Africa kwaajili ya u handsome,vp hukuwapata mpaka unajitembeza?

  Au sio wewe msomi wa UDOM? Kama ni wewe usihangaike sana kajaribu fb weka picha yako tu utawapata kibao! Lakini kwa hapa sirahisi kulingana na historia yako ya nyuma!
   
 3. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #3
  Jul 15, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  +255713800800. Haya tuchati.
   
 4. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  HB, Singapore utaenda lini?
   
Loading...