Am on the air from England to Tanzania pray for me jf guys

Julius Husseni

JF-Expert Member
Sep 9, 2016
1,162
2,000
How can I explain the large happiness in my heart to see Tanzania in this Christmas season. It's so better. Nipokeeni Wakuu.
Natoka masomoni ni mwanafunzi wa chuo fulani kule wingereza kwa wale ambao Juz hawakua na salio
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
38,842
2,000
How can I explain the large happiness in my heart to see Tanzania in this Christmas season. It's so better. Nipokeeni Wakuu.
Nimependa sana Kiingereza chako Mkuu ulichoandika " Am on the air from England to Tanzania ". Una muda gani umeishi huko Uingereza kwa wenye Kiingereza chao? Nakipenda mno Kiswahili changu sijui kwanini. Karibu Mkuu nchini Tanzania na utatukuta tu tumejaa tele na Kiswahili chetu!
 
Julius Husseni

JF-Expert Member
Sep 9, 2016
1,162
2,000
Nimependa sana Kiingereza chako Mkuu ulichoandika " Am on the air from England to Tanzania ". Una muda gani umeishi huko Uingereza kwa wenye Kiingereza chao? Nakipenda mno Kiswahili changu sijui kwanini. Karibu Mkuu nchini Tanzania na utatukuta tu tumejaa tele na Kiswahili chetu!
Pamoja Sana mkuu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom