Am looking Real man to be my fiancee...later awe Mume wangu. But am She-Male (serious)

sasa kama hio peni.s inafanya kazi kuliko hata vajina....hio hatari maana mamboo yanaweza geuka...
 
tuwasiliane tutakusaidia tuna kituo kinaitwa ndoayako counselling and matching center tumesaidia wengi 0766092952 na 0656702505
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Habari zenu.
Natafuta mwanaume ambae endapo atakubaliana na hali yangu kimaumbile aweze kuwa Mchumba wangu na baadae awe Mume wangu.
Mimi ni mwanamke kamili isipokuwa ni She-Male yaani nina kiungo cha kiume pia.
Jamani sitaki utani,kejeli,kashfa matusi wala dharau.
Sichagui dini,kabila,rangi,umbo wala kipato(japo wenye kujiajiri/kuajiriwa watapewa kipaumbele),
Awe na umri kuanzia 29-32,
umri wangu ni 28,Mkristo na ninaishi Magomeni,DSM.
Alie tayari tuwasiliane zaidi.
Mungu awabariki.


nyoooooooooo
 
I watch porn. Sometimes. But I look right Left centre and I do 15 reps before I actually click on the clip. But sijaelewa mpaka Leo. She male ni bisexual ama she has a dick and a pussy.
 
Be careful kuna Wengine hawana nia Nzuri. Wao wanataka tu kuja kushuhudia U-shemale wako. Akakae kijiweni asimulie Kwamba ameshawahi kumwona Shemale.... Refer AGNES MASOGANGE alichofanyiwa. So be Careful
Nilikuwa sijui kumbe Masogange ni shemale!
 
Nisikilize kwa Makini DAJANE... Kwa siye ambao tumesoma Female reproductin system na Genetics.... Na wewe tayari umeshasema Inayodominate ni ya Kiume. Kwa hakika hauna Uwezo wa Kuzaa au Kutengeneza Yai yaani Ovum na unauwezo wa kutengeneza Sperms mana umesema unaKORODANI Kabisa.. Ni bora ya kike ingekuwa na Nguvu na huna korodani tungesema ni Clitoris enlargement ambapo solution ipo....Kwahiyo hata kama unatafuta Mwanaume hautakuwa na furaha yoyote ile.

Ni bora ukabaki hivyo hivyo mana kwa Afrika ni Vigumu sana tena sana kuwa na Mme ambaye atavumilia hayo......
Mkuu alisha zaaa na amekuja na kisa kingine
Shaur yako na ulicho somea
 
Back
Top Bottom