Am looking fot Industrial Electrical Engineering book

Majesty S P

Member
Sep 24, 2020
58
125
Habari zenu wanajamvi.

NILIKUA naomba msaada kwa anayejua kitabu kizuri cha Electrical Engineering ambacho kinahusu Umeme wa viwandani na system zake ili niweze kukidownload.

Ni hayo tu.
 

JUAN MANUEL

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
3,833
2,000
Nenda hii tovuti:www.b-ok.africa,hakikisha una app ya pocketbook reader kwenye simu au PC
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom