- Thread starter
- #1,161
Nashukuru sana..nilisha move on muda mrefu na sijawahi kunyanyapaa single mother tena raha sana kuishi bila kuulizwa na kuudhiwa😄 japo yeye bado ananifanyia visa vya mbalimbali na distance yote.Pole sana ila angalia kilicho bora...
Kama una msimamo basi hama hapo nyumbani na ujitenge naye...
Kama anakuhitaji utajua na ndio hapo pakukazia kama unarudi iwe kwa masharti...
Au unakhofu unyanyapaa wa kuwa single mother?
Ameshajiaminisha kuwa hupindui...
Baadae ataona akutie na kilema kabisa ili ushindwe pa kwenda!
Hawa ni aina ya watu wanajifanya na mapenzi makubwa kabla ya ndoa ..
Iliwachukua mda gani mpaka kuoana?!