Am I wrong if I process divorce?

Wala sina kasiriko hata naona tukubali kutokukubaliana tu! Kila mtu ana namna anapenda ishi maana kama hakuna compromising basi kila mtu atabaki single!

What i believe ni kuwa tofauti ndogo tunaweza zisawazisha nobody is perfect tunakutana katika 90% but hii 10% kwanini tusifanye compromising? Tukitaka kusimama na misimamo yetu then we go separate ways! Thats what i mean Cariha.

Sasa kama wewe utakuwa mtu usiyetaka ku compromise hata kidogo utaishi vipi na watu? Mke wangu is rapping ila ana akili na upendo and so generous.., i find her to be an ideal wife! Sipendi anavyogomba gomba ila it doesnt mean hawezi kuwa mke sababu ana qualities almost zote nazotaka! I find way to live with it cause i love her.

Sasa we ukitaka mtu awe perfect match by 100% utamtoa wapi ndugu yangu?

Its so rare to find mtu unayemtaka by 100% awe mrefu, handsome look, six pack, ana hela, ana life good, hachepuki, anakupa hela, haku control and sum like that! Like Yow you gotta be single for life to meet with 1
Mzee umekula ban?pole!
Hii comment ni nzuri sana, nimeshindwa kuiruka.
 
Bado kimeumana tyuuh,
Ndoa tamu jaman, ila mkutane wote mnapendana.
Wadau karibuni chamani.
 
Duh, wahaya wana msemo: senene udondoka mahali ambapo haziliwi. na Wanamsemo mwingine: you don't know what you got till it's gone
 
Sitaki kuamini kama ni kweli lakini ngoja niamini.....naomba kujua vitu vifuatavyo

1. Uliwahi kucheat akajua?

2. Ulijaliwa kupata mtoto ama watoto
 
Mannnnnniiiina. Uislam uliweka wazi ndoa ni kama kiumbe. Inazaliwa, inakuwa na inakufa. Kifo natural.......au kuvunjwa. Inafika mahali binaadam huwezi ishi naye tena. Eti hooooo alichounganisha Mungu binaadam hawezi kutenganisha......my foot. Mungu hajamuunganisha mtu.

Oyaa sepa bidada.
 
Sitaki kuamini kama ni kweli lakini ngoja niamini.....naomba kujua vitu vifuatavyo

1. Uliwahi kucheat akajua?

2. Ulijaliwa kupata mtoto ama watoto
1. Sijawahi ku cheat kabisa ila niliwahi kuwa mjinga kukubaliana na tabia zake zote za ajabu nikiamini atabadilika
2. Ndio nilijaliwa
 
1. Sijawahi ku cheat kabisa ila niliwahi kuwa mjinga kukubaliana na tabia zake zote za ajabu nikiamini atabadilika
2. Ndio nilijaliwa
Mambo mdada, bila shaka ushapata ushauri wenye kukujenga kama ndivyo ulishakata shauri ungejiepusha tuu na huu Uzi ni mtazamo binafsi nimewaza utakua unakukwaza wakati fulani
 
Akili za kuambiwa changanya na zako...usiamini maushauri ya mtandaoni kuna watu wanapitia mambo ya hovyo zaidi ya hayo uliyosema lkn hapa watakwambia anza maisha yako wakati wao wapo kwny mahusiano ya hovyo zaidi.

Fanya kile unachoona sahihi kwa maisha yako
 
Nashukuru sana japo nilishathibitisha yeye kuzini nje..dharau iliongezeka na vipigo. Nipo tayari kwenye mchakato wa divorce na sihitaji ndoa tena maishani mwangu. Pole sana kwa changamoto the world is full of surprises,POLE
Pole sana ila angalia kilicho bora...

Kama una msimamo basi hama hapo nyumbani na ujitenge naye...

Kama anakuhitaji utajua na ndio hapo pakukazia kama unarudi iwe kwa masharti...

Au unakhofu unyanyapaa wa kuwa single mother?
Ameshajiaminisha kuwa hupindui...
Baadae ataona akutie na kilema kabisa ili ushindwe pa kwenda!


Hawa ni aina ya watu wanajifanya na mapenzi makubwa kabla ya ndoa ..

Iliwachukua mda gani mpaka kuoana?!
 
66 Reactions
Reply
Back
Top Bottom