Am I wrong if I process divorce?

Kwanza upo sahihi kuomba Divorce.
Anzia Kanisan, unasema vikao vishafanyika, kama kuna kumbukumbu uitunze na uanzie hapo kwenda mbele.

Uvumilivu wako umepitiliza na kila jambo likizidi kiasi sio zuri.
Hata waliooleewa wana bikra hawana uvumilivu huo.

Yaan Sipati picha ya Mwanaume gan mlevi kijinga namna hiyo,Mpumbavu sana tena sana.

Au amelogwa? /Kufungwa .Nadhan ushajaribu njia mbali mbali kuondoa ulozi kama uko katikati.

Anyway, omba divorce Mdada.
 
Ndoa za early 20’s huwa zinahitaji watu wakomavu sana aisee mkikurupuana ndio yanakuja tokea haya!

Mwamba bila kuambiwa tu najua lazma ni mtoto wa kichaga, top of the list when it comes to careless guys ni hawa jamaa! Anaweza akaoa halafu akawa busy na malaya tu tena wanaoneaga mabinti waoga waoga na wapole wanawapiga matukio kichizi wao pombe,mpira na washkaji!

Hahahahahahaaaaaaaaa
 
Hahahah wale wa kwenye wishlist unasogeza mmoja ndani ila mwanamke easy sana kujisevia makende kuliko sie wataftaji wa utelezi!

Inabidi uwe na bay ya papuchi nyingi ili siku ukame ukizidi unaiseti moja unailabua ila kimbembe ukiwa single kama gundu madem wanakukataa kisenge!
Hao hao wa wishlist unasogeza bana kuweka mayai kwenye kapu Moja ni hatari Bora uweke tofauti tofauti kwa usalama wako.
Pia I noticed when your in serious relationship ndo mitongozo inazidi ukiwa single haionekani kabisa
 
Binafsi naona hakufanya kwa ufikiri kuleta jambo hilo hapa kwa tabia za wakazi wa humu. Japo sijasoma coments Natumaini kabezwa sana na kufanywa Laughing stock
Hapana watu tunatoa ushauri bhana
 
Ngoja nimpigie mke wangu nimwambie samahani! Ukweli imeniuma Sana, maana kuna vitu umeandika nimevisoma nikiwa na akili timamu muda huu, nimegundua ninamkosea sana mke wangu pia. Siyo yote lkn maumivu yako mengine nimeyaona kwa mke wangu pia.

Mungu nisamehe, mke wangu nisamehe
 
Bro, niamini mimi.
Yaani story ya hivi ni kati ya vitu vichache ninavyoweza kukuhakikishia kwa asilimia 80 kwamba jamaa ana shida kwenye kupiga pipe. Labda tu huyu mtoa mada awe ameongezea chumv za kwake mwenyewe.
Its sex psychology 101.
MWANAUME MALAYA ANATOMBA NDANI NA NJE....!! Mark that!!!
Wanaume wasio na nguvu za kiume huwa Wana gubu, wanyanyasaji na wanapenda uhuni na michepuko hata kama hawasimamishi ili waonekane kuwa rijali.
 
Niko pamoja nawe
Hiyo apo tusiandikie mate

IMG-20210708-WA0006.jpg
 
Pole Kwa unayo pitia.

Nikiunganisha dot's kwenye aya zako napata mashaka kidogo.
Ingekuwa busara kama ungetaja umri wa huyo partner wako ili twende sawa.

Katika umri wa miaka 20 unaolewa huku ukiwa na masters kichwani, hii inaakisi aina ya familia unayotoka.
Na unaposema ndoa haijawahi kuwa na amani inazidi kutia shaka maana Kwa umri huo na elim hiyo am sure hukulazimishwa kuolewa, aliyekuoa ni mtu ambae hakika ulikuwa na mapenzi nae labda useme tu uliweka matarajio makubwa kwake kuliko ilivyo tokea.

Anaonekana ni mtu mwenye uchumi mzuri ila upande wa pili wa story inaonekana support yako ya kiuchumi kwake Gari, Nyumba na mahitaji mengine.

Kwa matukio yake (kama ni kweli) ni ishara kuwa hakuhitaji na huenda alisha kutamkia nachelea kusema huenda hata ndoa ww ulilazimisha.

Natamani kujua umri wake, elim na aina ya shuguli zake.

Kila ndoa inachangamoto
Kauli yake ya wenye chura hawana akili ilikulenga wewe.
Baadhi yenu mkiwa na chura, uzuri plus elim ya juu mnajitoa ufaham na kusahau majukum ya ndoa.

Uzuri wa maumbile ni kwaajili ya starehe na sifa za kijinga, ila mental attitude yako ndicho kitu mwanaume anahitaji ili kujenga future, hii inaweza isiwe na uhusiano wowote na hiyo masters yako.

Kaeni mzungumze.
Kuna vitu umevisema hapo juu, nimeanza kutafakari upya kuhusu hii storee
 
Hao hao wa wishlist unasogeza bana kuweka mayai kwenye kapu Moja ni hatari Bora uweke tofauti tofauti kwa usalama wako.
Pia I noticed when your in serious relationship ndo mitongozo inazidi ukiwa single haionekani kabisa
Heheheh ukiwa serious shetani achezi mbali ilimradi awavuruge tu
 
Back
Top Bottom