kabiriga JF-Expert Member Nov 18, 2012 861 830 Oct 31, 2017 #21 Kama ni "Kiki" basi hongera zao la! Hivi ni vituko vingine vya wasanii wa Bongo.
Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 51,937 69,217 Oct 31, 2017 #22 roselina john said: Maisha yapo kasi sana mda huuu dogo janja ana muita uwoya mke wangu na uwoya anajibu abeeee mme wangu Am I dreaming?? Click to expand... unaota tena mchana kweupee
roselina john said: Maisha yapo kasi sana mda huuu dogo janja ana muita uwoya mke wangu na uwoya anajibu abeeee mme wangu Am I dreaming?? Click to expand... unaota tena mchana kweupee
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Apr 13, 2017 44,482 188,625 Oct 31, 2017 #24 Hapo ndio utajua nguvu ya pesa + umaarufu kwa mwanamke ipo wapi.
Zakilmedady Member Jan 13, 2018 19 0 Feb 5, 2018 #26 roselina john said: Sure Click to expand... ! Hahahaa
luckyline JF-Expert Member Aug 29, 2014 15,011 21,248 Feb 5, 2018 #27 Mmh kadogo si kanakuwa kama mwanae??
dronedrake JF-Expert Member Dec 25, 2013 23,174 54,642 Feb 5, 2018 #28 luckyline said: Mmh kadogo si kanakuwa kama mwanae?? Click to expand... kama inapita vizuri, hakuna ubaya
luckyline said: Mmh kadogo si kanakuwa kama mwanae?? Click to expand... kama inapita vizuri, hakuna ubaya