Am addicted to paying sex. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Am addicted to paying sex.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by uporoto01, Jun 11, 2009.

 1. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #1
  Jun 11, 2009
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  I happen to have developed an addiction for paying sex.The sheer excitement of going into a bar and choosing a lady of my liking a plump,slim, tall,short,dark or light and after a few words maybe a drink or two we are in a room nearby doing our thing.The fact that there are no strings or feelings involved is part of the advantage.I have been hurt a few times in relationships and this easy way of relieving myself may block me from having a normal relationship with the opposite sex.About protecting myself i always use condoms and no kissing.
   
 2. K

  Kelelee Senior Member

  #2
  Jun 11, 2009
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 113
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Poor you................
   
 3. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #3
  Jun 11, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hebu come again hapo!

  What do you mean by normal relationship with the opposite sex? Are you doing it with the same sex?
   
 4. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #4
  Jun 11, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Uporoto01
  Ulikuwa na ulazima gani wa kutumia lugha usioijua kubandika bandiko lako?
   
 5. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #5
  Jun 11, 2009
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  ha ha ha ha.... Kibs noma true true!!
   
 6. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #6
  Jun 11, 2009
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Watakatifu leo ni leo.
   
 7. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #7
  Jun 11, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...aaarrgghhh jamani, sijaona tatizo hapo iwapo mtamsoma toka mwanzo...:)
   
 8. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #8
  Jun 11, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  kabisa Mkuu... Uporoto kajieleza vema

  hakuna tatizo kwenye lugha mbona?

  Uporoto anachomaanisha ni kuwa kazoea transactional sex as opposed to normal consensual sex.
   
 9. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #9
  Jun 11, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...oohh, mimi mw'ume opposite sex wangu atakuwa mw'mke jamani eeh!

  mambo ya transactions na consents zaweza fanyika hata kwa Trannies, Lesbo(s) na twinks! :)
   
 10. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #10
  Jun 11, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...nionacho mimi ni 'ulevi' alionao Uporoto. Addiction si ulevi? yeye anapokuwa na 'mtingo wa mawazo' hujiliwaza kwa kutafuta mwanamke wa kununua...

  asaidiweje???
   
 11. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #11
  Jun 11, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...tatizo la kila addiction ni maliwazo ya muda mchache tu, i.e sio suluhisho la kudumu!

  ...Excitements gani mkuu, hizo pesa ulioitolea jasho mwezi mzima unaenda kujinafsi kwa dakika tano bro? acha bana!

  ...excitements following that addiction ndizo 'attached strings' zenyewe hizo. Mwishowe ni kujifunga kwa STD na UKIMWI...

  ...huh, wishful thinking! upo shimoni, wazidi jichimbia ya nini? past heartbreakers zasaidia kumthamini (utapompata) mwenye mapenzi ya dhati.

  ...hata wenye addiction ya pombe hawakuanzia na pombe kali, ipo siku sikio la kufa litaacha matumizi ya kujichafua na Condom na kuanza kuonja utamu wa sukari 'kavu kavu!'
   
 12. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #12
  Jun 11, 2009
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280

  He is a temporary GAY!!! Soon he will become permenent!!! Pole sana uporoto01.
   
 13. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #13
  Jun 11, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  una invest kwenye ngono sio? mkubwa kwanza usitumie sana nguvu ya hela kwenye mapenzi,hicho ndio kitu kitakuangusha kila siku.be you unapotongoza mwanamke haina haja manjonjo mengi.watu wengi wenye tabia ya kununua ngono wana historia ya kuonga sana wanawake wakati wana tongoza.relationships ni kitu sensitive sana na hili kuweza kuishi na mtu na mkapendana mnaitaji mawasiliano physicaly and mentaly mpaka manajikuta mnaconnect automatic.sasa kitendo chako cha kutaka pesa ndio hiwe inakufanyia mawasiliano ndio inakuangusha kwenye relationship zako zilizopita. hayo ni wazo yangu kutokana na uchunguzi wangu.
   
 14. a

  agika JF-Expert Member

  #14
  Jun 11, 2009
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 381
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kweli jamani mkisoma vizuri toka mwanzo utaelewa kwamba anaongelea ladies.na kwamba uhusiano wake na ladies ni huo wa pay sex en go,
   
 15. a

  agika JF-Expert Member

  #15
  Jun 11, 2009
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 381
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  ila mzeee wa THE GUNNERS uporoto01 hajasema relation ship zake za mwanzo zilikuwaje kama alikuwa anahonga sana au vp? yeye kasema tu kwamba aliumizwa, na hiii anayofanya sasa hivi ya kununua ngono si kwamba aanahonga ili apewe ngono hapana ni kwamba analipia ngono , kuna tofauti hapo mzeee ......... au bado una hangover ya mabao ya ManU?
   
 16. K

  Kilambi Member

  #16
  Jun 11, 2009
  Joined: Apr 3, 2009
  Messages: 94
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  endelea kula bata baba! kwanza hao wa kununua wako poa sana tuu na salama! ukimalizana naye humjui...no presha, uhuru wako unabaki nao, siku huna hela unakuwa karibu zaidi na sabuni, ila ukizoea sana mkuu hata ukijapata mke stimu haipandi hadi umlipe!!
   
 17. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #17
  Jun 11, 2009
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Wee Uporoto wewe! Pole sana lakini. Ila kaa utafakari juu maisha yako kwani inavyoonekana huyathamini tena. Yaani umeamua kuitemebeza nafsi yako kama vile haina thamani?!

  Kwanza ukubali kwamba kudanganyika kwenye mahusiano si jambo geni wala wewe si wa kwanza na wa mwisho. Mara nyingi watu wamejikuta wamepoteza mahusiano na watu wanaowapenda. Kumbe pokea hiyo hali kama jambo la kawaida.

  Pili, badala ya kuanza kufanya hit and run kwa kila mwanamke, nakushauri uache. Kaa utulie. Nakuambia utampata msichana mzuri wa sura na tabia ambaye naamini utakuwa tayari kuishi naye daima. Ila uwe na subira! Usiwe na kiherehere kwa wadada watamaliza mamilioni yako halafu watatokomea ambako hutawafuata.

  Tatu, uwe na kiasi katika pombe. itakusaidia kujitawala na kuwa na msimamo katika maisha. Usiuamini sana huo mpira wa kujamiiana. waweza kupasuka wakati wowote kadiri unavyokuwa unajihusisha na wasichana wengi katika ngono. Wengine wanatumia nguvu nyingi kama farasi kumbe waweza kukuta kifaa kimepasuka, na ukawa hatarini kupatwa na magonjwa. Au kwa kuwa umelewa wakati mwingine unaweza usiuvae kama inavyotakiwa.
   
 18. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #18
  Jun 11, 2009
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Nowhere have i mentioned having sex with one other than women.I was just saying this may impede my ability to have a normal relationship that does not involve paying for it.
   
 19. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #19
  Jun 11, 2009
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ulijuwaje mi ni Arsenal damu? yaani tokea enzi za Ian wright na Dixon.
   
 20. Kapinga

  Kapinga JF-Expert Member

  #20
  Jun 11, 2009
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 728
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ogopa magonjwa ya zinaaa
   
Loading...