Anthonymlelwa
Member
- Dec 15, 2016
- 17
- 4
Hello call me Tonybakora am a new comer here......
Mnamuogopesha mgeniHomeboy umeshindwa kutafuta jina mbadala?, huku sio fb,
Awamu hii na hiyo Id yako ya kimama uchunge sana vidole vyako kwa yale utakayoyapost humu...ukiteleza kidogo tu utajikuta uko ngome kama sio kuong'olewa meno na kucha.anw karibu mkuu.
Hapana mkuu tunajaribu kumuandaa psychological ili baadae asijekulalamika hatukumwambia.Mnamuogopesha mgeni
Ila anaweza kuomba abadilishiwe jinaHapana mkuu tunajaribu kumuandaa psychological ili baadae asijekulalamika hatukumwambia.
Bebe rafikiNewcomer ambae siyo ke huwa hanogi!
Bebe rafiki??! .......tatizo unabanwa sana kule pm,whatsapp hadi fb!!......halafu hata maswaibu yanayokukuta huko hata husemi sasa!!Bebe rafiki
I missed you
Eee bebe rafikiBebe rafiki??! .......tatizo unabanwa sana kule pm,whatsapp hadi fb!!......halafu hata maswaibu yanayokukuta huko hata husemi sasa!!
Nipe kwanza hali ya hewa kule whatsapp!Eee bebe rafiki
Alafu kule pm umeadimika hadi najiuliza umekumbwa na nini asee
Newcomer ambae siyo ke huwa hanogi!
Nipe kwanza hali ya hewa kule whatsapp!