Always Old is Gold :Jamani msiitupe cha zamani eti kisa umepata kipya.

Nyagalu blood

Member
Feb 3, 2019
5
13
Ni miez kadhaa toka nimezinguana na demu wangu,bila Shari kama ilivyozoeleka kwa vijana wa sasa,hiv juzi nimekutana na huyu dem ,meng tulijadili ikiwemo maisha yanavyoenda toka tumeachana,ikiwemo kujuwa sababu....lakn alikuja kugusia vp kama nimepata Mtu mwingne,lakn kama unavyojuwa ni ngumu kumjibu nimepata mwingine maana huwa tunahofia kuumiza moyo wa mwanamke ....hapo nilimjibu bado sijapata na sijafikilia toka tumeachana ...kiukwel dem alinisih sana jinsi mahusiano yanavyohitaji kuaminiana....na baada ya kumuelewa hivi ninavyosema kanitunuka penzi mbalikiwe wadada wenye moyo kama huu...

Sitakuja muacha demu kwa kumtukana ,kumdhalilisha wala kumfanya anione Mtu mwenye roho mbaya ...nitawaacha kimya kimya..ili tukikutana iwe kama ilivyonitokea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenikumbusha ujanani, nilimwagana na mdada, baada ya miezi sita napata call, "oh nipo mjini vipi tunaweza kuonana?", Nikajibu, "ndio" akasema kama hutojali tuonane this weekend...

... unajua kilichofuata mjengoni
 
Ni miez kadhaa toka nimezinguana na demu wangu,bila Shari kama ilivyozoeleka kwa vijana wa sasa,hiv juzi nimekutana na huyu dem ,meng tulijadili ikiwemo maisha yanavyoenda toka tumeachana,ikiwemo kujuwa sababu....lakn alikuja kugusia vp kama nimepata Mtu mwingne,lakn kama unavyojuwa ni ngumu kumjibu nimepata mwingine maana huwa tunahofia kuumiza moyo wa mwanamke ....hapo nilimjibu bado sijapata na sijafikilia toka tumeachana ...kiukwel dem alinisih sana jinsi mahusiano yanavyohitaji kuaminiana....na baada ya kumuelewa hivi ninavyosema kanitunuka penzi mbalikiwe wadada wenye moyo kama huu...

Sitakuja muacha demu kwa kumtukana ,kumdhalilisha wala kumfanya anione Mtu mwenye roho mbaya ...nitawaacha kimya kimya..ili tukikutana iwe kama ilivyonitokea.

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya ya kuwaza kulaga vipolo, honestly mimi huwa siwazagi kabisa. Mi nikishaamua hapa natoka, jua natoka mazima, hata iweje sirudi tena. MNA MOYO MNAOWEZA.

#ni maamuzi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom