Alumni Short Course India - Tanzania Gvt

bulabo

JF-Expert Member
Aug 20, 2015
620
759
Wadau tukutane hapa jamvini wale tuliowahi kwenda kusoma hizi kozi za muda mfupi India. Kitu gani umejifunza ukiwa huko india kinaweza kusaidia nchi yetu ya Tanzania. Na chuo gani unaona trainer wake wako vizuri kwa proffessional mbali mbali.

Me nilienda chuo kinaitwa UTL( UTL Technologies Ltd ) kipo bangalore, Kwenye hiki chuo nilienda kusoma maswali ya CCNA na CCNP, Nilichojifunza kwanza kabisa wenzetu wako mbali, trainer wako tayari hata jumapili usome na pia shule unayopata hapo kwa kweli imenitoa tongo tongo kuhusu network kwa ujumla. Na hawa jamaa mtu akimaliza chuo or college kwa nchi yao lazima apite kwenye hizi training institute ili kujinoa zaidi.

Ningeomba na nchi yetu ifanye hivyo...watu wa technology na proffessional kama za uhasibu wapite chuo ambacho ni specialization ili kuwafanya wa qualify kupambana na soko la ajira na nchi zingine. Kwa sasa watanzania wasiangalie ajira Tanzania tu kuna soko la ajira kubwa sana nchi kama Sudan/Juba, Malawi, Botswana na Congo. Ni sisi tu kujiamini kupitia hizi training.

Mwisho Bangalore pako poa sana full kuenjioy.
Niwaombe vijana ombeni hizi course zipo wazi msiogope. Jaza online, ukimaliza nenda hospital pata vipimo kwa fomu yako, jaza english capability fomu, pata barua kutoka kwa mwajiri wako. Ambatanisha vyeti vyako na cheti cha kuzaliwa, PELEKA UTUMISHI.

utumishi

OR
https://itecgoi.in/stream_list.php

Wengine tupieni hapa.
 
hizi hapo
 
Attachments

  • ITEC 2017-2018-ilovepdf-compressed.pdf
    1.1 MB · Views: 48

Nilifanya yote hayo ila sijachaguliwa aisee nilitaka kusoma monitoring and evaluation

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba mnasaidie kujibu maswali haya

1.Unaomba wakati gani ?lazima wizara iwe imetangaza?
2.ukishapata chuo ndo unakuwa umepata nafasi ya kwenda kusoma au bado kuna usumbufu kupitia kwa maafisa utumishi wa Halmashauri ?
 
Nenda kwenye website yao ya itec nafac zipo wazi sana unaweza kujaza bila kuhusisha maofisa utumish ukafankiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda kwenye website yao ya itec nafac zipo wazi sana unaweza kujaza bila kuhusisha maofisa utumish ukafankiwa

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu kwanza nakushukuru sana ,Jana nilivyoona post nilianza kutafuta nilipata website vizuri na kozi ninayo itaka nikaipata na nafasi nimepata nikaprint.Sasa swali je, ninatakiwa kupeleka wapi? kwa Maafisa utumishi au niepeleke moja kwa moja TAMISEMI?maaana hawa miungu watu wa Halmashauri yangu suijui kama wanaweza kunipa nafasi hiyo.Please help me
 
Back
Top Bottom