Aluminium in Vaccines is extremely bad news for our children: It enters the brain and stays there

Taaluma ya afya ni complex sana especially kwenye field ya vaccine.
Hizi topic zako za sasa hapa jamvoni mhemko tu na hofu uliyojengewa na imani yako ya kidini.
Kukuhakikishia hilo ukapelekwa katika jopo la madaktari ueleze hicho ulicho copy huko mtandaoni utatapika coz wewe ni layman kwenye field ya afya.
Huyo Lorenxo atuletee hizo tafiti zake hapa za kwamba ukimwi ni uongo tuzichambue hapa.
Inawezekana akawa mwanasayansi wa kitanzania..
Google Kuna debate kuhusu utata wa AIDS

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Google Kuna debate kuhusu utata wa AIDS

Sent using Jamii Forums mobile app
Mjadala huu uko hadi humu jamii intelligence tena umeelezewa vizuri sana kuwa hiv ni hoax.

Issue huwa inakuja ni kwamba watu wanakufa kwa huo ugonjwa.
 
Unaleta siasa
Jibu hili swali
Ni utafiti upi umeonyesha uwepo wa Aluminium na mecury katika chanjo ya covid 19?

Hayo mengine unayoyasema ni ufinyu wa akili yako tu...
Unataka kututoa nje mada...
Mada ameanzisha mwenyewe lakini kashindwa kuitetea kwa sababu ka copy huko google kaileta bila kuifanyia uchunguzi wowote

Habari za mercury sijui... it doesn't matter to me!

What matters to me is the fact that these vaccines are poisonous rubbish!

Be it mercury or whatever kind of shit, it is all nonsense and don't even bother to lecture me on that garbage.
 
Kwahiyo unadhani watoto wako walipozaliwa hawakupewa chanjo?

Walipopelekwa kliniki hawakupewa chanjo?

Je unadhani watoto wako watapinga chanjo kama ww?

Je unadhani utaweza kushindana na watu ambao hawakujui wewe na Wala huna uwezo wa kuwashinda?
Wewe wa ajabu sana,unanibishia na mimi ni watoto wangu!Kwanza kwa taarifa yako watoto wangu sikupeleka kliniki,kwanza wakafanye nini?
 
Asante kwa hiyo link naipitia taratabu na video nitazitazama kwa umakini mkubwa.
Bahati nzuri nipo kwenye field ya afya.

Hiki ndo nilichokuwa nakihitaji kaka.
Hapo umeniongezea element mpya ya graphine oxide...nitaifatilia kwa ukaribu.
Mmetuangusha sana ninyi watu wa afya.Let me say this,hamna weledi independent kabisa,you sing the song of the West,hii ni mbaya sana, you must be independent scientists.Mabeberu hawana nia njema na sisi kabisa.

Mimi nina mtoto ambaye ni Daktari wa watu,lakini he comes to me for advice,I am a Microbiologist specialized in Virology,na nasoma sana.I like reading,ndiyo passion yangu.Kwa sasa nafanya utafiti wa kina juu ya "The Khazarian Mafia" and in the process ofcourse the innerworkings of underground societies,ndio maana nimejua sana uovu wao.


Afya ni sekta ambayo wameitumia sana ku-reingeneer humanity,na ninyi mnadanganywa ili mje kutudanganya sisi tubugie masumu yao,it is very sad.Mimi simuoni Daktari kama nilivyokuwa namuona zamani wakati nilipokuwa sijui uovu unaoendelea,sasa namuona Daktari kama collaborator in genocide.Nina mengi ya kusema,ila ngoja niishie hapo.
 
Nikikufuatilia sana wewe utakuwa msabato tuu maana wengi ndio ndio wanafikra za kijinga namna hii wanalishana huko makanisani...am sorry!!
Bora kulishwa ujinga kanisani kuliko kulishwa masumu ya chanjo na mabeberu!

I would rather stay in church and get indoctrinated with bullshits than taking those stupid toxic vaccines.

We mwaga mitusi tu, ila CHANJO MWIKO!

Mkadungane na baba zenu waliowatuma.
 
Umedanganywa sana na dini yako chief na unekuea mjinga kweli kweli. kwamba mRNA ni microsoft windows nini eti😂😂😂😂😂😂 kwakweli ukipata muhubiri mjinga na wewe unakuwa mjinga kama muhubiri wako
Hayo yote uliyoyasema unajuaje ni kweli. Halafu kwa umbumbumbu ulio nao unadhani hayo yako kwenye dini,dini has nothing to do with that,that is pure science.
 
Hizo chanjo ni sumu na hazifai. Hakuna beberu anayeweza kukupenda wewe. Acha kujipendekeza.

60 years ago hao mabeberu walikuwa wanawauza baba zako utumwani na kuwachapa mijeledi kama mifugo. Ni juzi tu hapa hata vizazi viwili havijapita.

Eti chanjo!!! Wakuchanje wewe kwa kuwa wanakupenda sana!
emoji2.png
emoji2.png


Zinduka wewe! Usiwe nyumbu!

Bora kulishwa ujinga kanisani kuliko kulishwa masumu ya chanjo na mabeberu!

I would rather stay in church and get indoctrinated with bullshits than taking those stupid toxic vaccines.

We mwaga mitusi tu, ila CHANJO MWIKO!

Mkadungane na baba zenu waliowatuma.
Nimechanja na sina hofu wala shaka
Aisee,labda wewe,sio mimi.Halafu mawazo uliyo nayo sio bure ni lazima wamekupiga Talmudic Occult ya Khazarian Mafia.
Uujinga tu sio kosa lako , jitafakar hata hiyo smart phone ni made in ushirombo sio? Unajua ina vitu gani ndan na je umejiridhisha pas na shaka kuw vyote ni salama kwa afya yako?
 
Nimechanja na sina hofu wala shaka

Uujinga tu sio kosa lako , jitafakar hata hiyo smart phone ni made in ushirombo sio? Unajua ina vitu gani ndan na je umejiridhisha pas na shaka kuw vyote ni salama kwa afya yako?
Unajifariji mkuu,athari zinakuja between 0-3 years,hiyo ndiyo sayansi.Na utakubalije kutumika kama mnyama wa majaribio?jamani kweli!!!!!!!!??????Unafanywa Gunea Pig.Dah!Yaani IQ yako iko so low mkuu,pole.
 

UTANGULIZI:​

Nitangulie kusema kwamba kama unataka kuelewa vizuri hili bandiko na kwa nini wanawekea watoto wetu sumu kwenye chanjo, pitia Kwanza bandiko lifuatalo⬇️​

Bandiko hili linaweka wazi mipango yote miovu ya NWO dhidi ya Wanadamu.Hapo utapata picha halisi ya kile kinachoendelea.​

BANDIKO LENYEWE.

Apparently Aluminum can have long term, adverse effects in the brain, as outlined by Dr. Palevsky in this public hearing of the legislature in Connecticut, U.S.A. in February of last year. Feb. 19th 2020.


Public Health Committee Public Hearings
on proposed legislation concerning immunizations
02/19/2020

Chairwoman: What are your thoughts on that?

Dr. Lawrence Palevsky: Um.. Well you heard earlier that there’s no real concern about aluminium because it’s such a small amount, and so it really shouldn’t matter.

But the kind of aluminium that we put into vaccines is a different kind of aluminium than we see environmentally. This is called a nanoparticle. And nanoparticles bind really tightly to the bacteria antigens, the virus antigens, the food protein antigens, and any other contaminants that are in the vaccines that we may not know about. And we know that the biochemical properties of nanoparticles is that they are capable of entering the brain.

And so we have not evaluated the safety of the aluminium nanoparticle and its injection.. and where it goes when it gets into the body and whether it gets into the brain. Do vaccine ingredients belong in the brain?

No. Do they get into the brain? No one has ever studied it. But animal studies using the same chemicals that are in vaccines that we give to children, directly demonstrate that the vaccine ingredients do enter the brain. We are ignoring this information.

There are scientists in Europe who’ve actually done studies on the aluminum nanoparticle and have shown that it can persist in the brain for years and decades. And so what we’re seeing is a large outbreak of neuro-developmental disabilities in adults, including Alzheimer’s.. and one of the main factors that they’re finding in the brains of people with Alzheimer’s is the aluminium nanoparticle that’s directly related to the vaccines that we’re giving.

So we have never studied whether the aluminum that we’re giving in vaccines gets into the brain. And we’ve never measured whether it stays in the brain, and what it does if it does stay in the brain.

But we do know that vaccines are supposed to cause inflammation in the body. But we have more than half of our children with chronic inflamed conditions. And we’ve never allowed ourselves to ask the question: ‘If the vaccines cause inflammation acutely, do they continue to create inflammation chronically?’

We have one in five with neuro-developmental disabilities, one in ten with ADD [attention deficit disorder] and ADHD [attention deficit hyperactivity disorder], one in thirty-five with Autism. one in eleven with Asthma.. And one in twenty under the age of five with seizures.

And the autoimmune diseases are exponentially rising.. and we are finding that the viruses and the bacteria that we’re injecting into the body, along with the adjuvants, create something called “molecular mimicry” Which means the body sees those viruses thinking that it’s foreign, but actually finds pieces of those viruses that match pieces of the ‘self’.

And the immune system doesn’t differentiate between what it’s been told to reject, and itself. So it will turn the immune system on itself, leading to an autoimmune condition.

We know this about Hepatitis B. We know it about the Gardasil vaccine.. And we know it about the Flu vaccine. And we continue to say, unequivocally, that the vaccines have been studied effectively, and that they’re safe. And that’s just not true.

Gradually this is all coming out.. Vaccines are bad-news for children. And by us being confronted with the Covid vaccine, we are having to look to them too, and to the animals. Freeing up all the sparks of consciousness – part of the One Life Who lives in all things – that Life which we call God! .. God in the human form, God in the animal form, God in the plant form and even God in the mineral form of the Earth… Everything around us IS that Life! It’s intelligent, too, for it responds to what we do, say and think.

So please, let us tread the road of Balance. For what we do, so will the Earth do, and each of Her creatures do likewise.
___
Vaccines - Dr Lawrence Palevsky .. Aluminum in vaccines enters the brain and can stay there for years even decades, given Feb. 19th 2020 | Spirit | Before It's News
Mkuu achana na majitu majinga, yatapigwa chanjo na booster mpk akili ziwakae sana.Magufuli aliwaonya kuhusu machanjo wakawa wanamuona kichaa, wanajifanya wao wameendelea sana wanaujua ulimwengu.

Acha wanyooke,watalimia meno
 
Ulaya Wapo barabarani baada Ya kushtukia mchezo unadhuru Afya Ya Binaadam vibaya Mno na vifo vimezidi kwa walio chanjwa ila ndo hivyo
Vichwa panzi wa hapa Tz hawakuelewa, jamaa wanaandamana kila siku tatizo linakuja vyombo vya habari havirushi hayo maandamano duniani kwa hio taarifa za maandamano hazisambai.
 
Mkuu achana na majitu majinga, yatapigwa chanjo na booster mpk akili ziwakae sana.Magufuli aliwaonya kuhusu machanjo wakawa wanamuona kichaa, wanajifanya wao wameendelea sana wanaujua ulimwengu.

Acha wanyooke,watalimia meno
Ngoja tujaribu kuelimisha wajinga mkuu,labda wataamka,ila ni kweli,wapumbavu acha waangamie.
 
Ukishamaliza kuisoma hiyo khazarian Mafia..utuletee hapa jamvini.
We need more topic like this one.
Mike Wizara lazima iwe na scientists wenye weledi wa kutosha na independent minded.Kwa jinsi mambo yalivyo Wizarani Sasa hatuna.

Hivi tume prove sisi scientists wa Wizara ya Afya kwamba kweli virus wa Covid wapo,au tume parot pick narrative ya mabeberu tu.Mike a scientist must prove a hypothesis.Wataalamu wa Afya waliyoifanyia kazi ni hypothesis,that is so stupid.Tumeambiwa Covid ina sambaa haraka sawa, tuli-take time and effort to prove it, no.Tuliambiwa face masks,sijui social distancing zinasaidia ku-contain spread, did we take time to prove it, no.Infact mimi kama scientist ninajua kwamba face masks na social distancing hazisaidii kabisa kuzuia spread ya kinachoitwa Covid,after all as a scientist also najua Covid haipo.Mike Virus ni wadogo sana,20-200nm,hawawezi kuzuiwa na face mask,it is so stupid.Halafu pia it's common sense,utatoaje hewa chafu,CO2, halafu uirudishe tena ndani,it's so dangerous to the Blood Chemistry and Immune System.

Kwa nini pia tunasahau kwamba yale mamaski yametengenezwa na chemicals,kwa hiyo unapoyaweka mdomoni unapovuta hewa,you are also inhaling poisons,na infact to older people it is even more dangerous?Na kwa nini tunasahau pia kwamba binadamu ni a social being,and that is how God created him, kwa hiyo kuna alot of social, homornal changes and implications ambazo zinatokea ukimu-isolate na hivyo kumuathiri kiafya?Mimi najua after consulting the literature,
kwamba Covid procols zote ni Draconian na zina nia ovu ya kuua na ku-condition watu to authoritarian control by the NWO.

Unajua Mike, wameambiwa wa-prove kwamba Covid virus imekuwa isolated wameshindwa.Wameambiwa pia wa-prove kwamba Covid virus ina adhere to Kock's Postulates wameshindwa,ofcourse wameshindwa kwa kuwa in principle haipo.
Kock's Postulates hizi hapa👇.Hizi ndizo principles ambazo every disease micro-organism must adhere to.

  1. The microorganism must be found in abundance in all organisms suffering from the disease, but should not be found in healthy organisms.
  2. The microorganism must be isolated from a diseased organism and grown in pure culture.
  3. The cultured microorganism should cause disease when introduced into a healthy organism.
  4. The microorganism must be reisolated from the inoculated, diseased experimental host and identified as being identical to the original specific causative agent.
Mike hata ile kamati ya Covid,what it did ni ku-endorse tu narrative ya mabeberu ya Covid,hawakufanya utafiti wowote independent.Waliingia maabara wakafanya utafiti independent kujua kwamba Covid kweli ipo,no.Je walifanya angalau hata literature review ya kutosha ili waweze kujua behaviour ya the Covid virus,from which they could make useful and relevant conclusions?I believe not.Walifanya independent research kujua kama Covid protocols zilizokuwa suggested ni appropriate?No I believe,otherwise wasingekubali the suggested Draconian protocols.Seriously nashindwa kuelewa how the Ministry of Health missed it and got it so wrong.Na linalonishangaza zaidi ni je,hivi kweli Wizara ya Afya haijui kwamba Watu waliochanja worldwide wanakufa na kupata madhara makubwa kwa sababu ya Covid shot mpaka wanaendelea kuhamasisha watu wachanje?What is the intentionKweli?Hii si case ya kumuona Mfalme yuko uchi halafu kila mtu anaogopa kumuambia yuko uchi kweli Mike?No,we are in deep trouble.
 
Back
Top Bottom