Altenative source za income | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Altenative source za income

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Njowepo, Jun 15, 2009.

 1. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #1
  Jun 15, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Unajua hizi budget zetu zimekuwa za kucopy na kupaste!
  Toka nizaliwe naona kodi ni zile zile tuu utakuta wamepandisha kwenye beverages?
  I would think apart from the government placing an emphasis on kilimo they should think of viwanda vya kuconsume hayo mazao ya kilimo.

  Ila kwa upande mwingine jamani kwenye madini tunaliwa sana kuna haja ya kuibadili hii mikataba.Nina wasi wasi kuwa Dhahabu ya Chunya inapita kwenye channel halali za serikali.

  Kikubwa kingine ni kwa nini tusiconcentrate na upanuzi na uboreshajiwa bandari yetu hii ili kutaje advantage ya mizigi isiyopungua tani mil kumi for Malawi,Zambia,DRC,Rwanda na Burundi,am told kwa sasa tumeachive kusafilisha tani mil moja this is nonesense that is to say majirani zetu wametake advantage of that.Imefikia kipindi China wanasema ni rahisi kUPELEKA mizigo yao DRC kwa kupitia kenya.

  Hayo ni maoni yangu on altenative source za revenue kwa taifa letu jamani tunavoid kukopi na kupaste
   
 2. PatPending

  PatPending JF-Expert Member

  #2
  Jun 15, 2009
  Joined: Aug 17, 2007
  Messages: 490
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Hayo ndiyo masuala ya miundo mbinu, ni matumaini yangu ya kuwa umeona kiwango cha fedha kilichotengwa kwa ajili ya miundo mbinu. Kwa hivi sasa changamoto kubwa na kipaumbele ni barabara za kuunganisha mikoa ya nchi. Shughuli za upanuzi wa bandari si lazima ziwekwe katika bajeti ya nchi kuna mamlaka ya bandari Tanzania (TPA), upanuzi na uboreshaji wa bandari unatakiwa uwe sehemu ya mipango yao ya maendeleo.

  Mpaka sasa bado sijajua ni kwanini watu wanapigia kelele kupita kiasi suala ya vyanzo vya mapato, katika nchi zote kodi na ukopaji ndio vyanzo vikubwa viwili vya mapato ya serikali. Cha msingi hapa ni kufanya tathmini ya jinsi gani tuntakavyoweza kupanua wigo na kuboresha mfumo wa mapato ya kodi.
   
 3. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #3
  Jun 15, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Mind you wakati sisi tunalala kusema tuachie TPA Kenya kwao ni suala la kitaifa na wamejicommit I think kama billioni 200 kupanua bandari yao.
  Tungoje TPA wacompete na nchi badala ya nchi kucompete na nchi
   
Loading...