Alshabaab wajilipua Somalia hotelini na kuua watu watano

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,754
48,347
Hebu wasemaji akina FaizaFoxy MOTOCHINI mnipe darasa ya haya mambo, nilijua mpo kwenye ramadan hivyo dunia itatulia. Sasa nini hii ya kujilipua lipua. Halafu huko Somalia mnalipuana wote wa dini moja. Tatizo huwa nini, mkilipuka kwetu tutaelewa maana mnasema kafiri, lakini kule mnasema nani yule mnayemlipua maana na yeye kavaa kanzu na kulea ndevu.

Huu uzombi ni balaa.

Mogadishu.jpg


At least five people were killed in an attack on Saturday on a hotel in the Somali capital Mogadishu that was swiftly claimed by Al-Qaeda-affiliated Shabaab militants, police said.

"What we know is that there were at least five victims, including three security guards, and that six others were injured," police official Ibrahim Mohamed said.

The Shabaab group claimed responsibility for the attack in a statement distributed through online social networks.

The assault was led by a suicide attacker driving a car laden with explosives, the Shabaab said in a statement distributed through the Telegram smartphone app.

The attack began at 4:30 pm (1330 GMT) with a powerful blast followed by heavy gunfire, an AFPjournalist and a witness said.

At 7:00 pm, as night fell in Somalia, sporadic gunfire could still be heard, witnesses said.

The Shabaab swiftly claimed responsibility for the attack, saying in a statement on the Telegram smartphone app that the jihadist gunmen had "managed to fully take control of the hotel".

"The attack started with a heavy blast carried out by a brother who drove a car loaded with explosives. Gunmen fought their way into the hotel, and we believe that casulaties were inflicted in the enemy's ranks," the Shabaab said.

SPIKE IN VIOLENCE

The Shabaab lost their foothold in the capital in 2011 but continue their battle to overthrow the Somali government and launch regular attacks on military, government and civilian targets like hotels and restaurants in Mogadishu and elsewhere.

In November last year, the Islamists carried out a similar attack on the Sahafi hotel in central Mogadishu, leaving at least 12 dead.

Across the border in Kenya, five policemen were killed on Monday when suspected Shabaab fighters attacked their convoy.

Shabaab insurgents have staged repeated attacks in Kenya, including the killing of at least 67 people at Nairobi's Westgate Mall in 2013 and the massacre of 148 people at a university in Garissa in April 2015.

The Shabaab earlier this month confirmed the death in a special forces raid of a commander named Mohamed Mohamud aka Dulyadin, who was suspected of organising the Garissa University attack.

In recent months they have also claimed attacks on bases of the African Union peacekeeping mission in Somalia (AMISOM).

The authorities in Nairobi have vowed to send back 350,000 Somali refugees living in Dadaab camp in northeast Kenya.

The UN refugee agency however has called on Kenya to ensure the repatriation is carried out "in a humane, dignified manner, in line with international principles".

The vast majority of residents of the sprawling Dadaab complex of camps close to the Kenya-Somalia border fled Somalia's more than two-decades long conflict. Many remain fearful of returning to a country where insecurity remains rife and poverty is widespread.
Five dead in Mogadishu hotel attack
 
Oh! This is bad. Atleast 15 dead, and it's bilivd they've taken some hostages, meaning the attack's still ongoing.
But alas! The world's mind is currently still wrapped around the Brexit results fallout. Nobody seems to have time for all this.
 
Hayo maswali kamzulize mmarekani ndio mwanzilishi wa hayo makundi
Akuambie nini dhuni lake,

Pia kuhusu kulipuana wenyewe kwa wenyewe

Juzi hapa kulitokea mashambulizi marekani nani alie toka nje ya marekani na kuwa lipua watu 49 kule
Mbona niwao kwa wao.
Wabunge wamarekani walikaa chini bungeni ili kuzuia umiliki hovyo wa silaha za Alshabaab au wamarekani wenyewe?
 
Hayo maswali kamzulize mmarekani ndio mwanzilishi wa hayo makundi
Akuambie nini dhuni lake,

Pia kuhusu kulipuana wenyewe kwa wenyewe

Juzi hapa kulitokea mashambulizi marekani nani alie toka nje ya marekani na kuwa lipua watu 49 kule
Mbona niwao kwa wao.
Wabunge wamarekani walikaa chini bungeni ili kuzuia umiliki hovyo wa silaha za Alshabaab au wamarekani wenyewe?

Aliyewalipua wamarekani ni mwenzenyu muabudu Modi!....ni muislamu aliyejiingiza Marekani kama muhamiaji/refugee!
 
Sasa mwingine anasema mmarekani aulizwe maswali,eti mmarekani ndo aliyeanza haya makundi ya kigaidi!Sasa mnajiunga na kushabikia makundi hayo kwa sababu ni ya mmarekani?Mbona mmarekani hajilipui?Uzombi nayo!
 
Back
Top Bottom