Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,474
- 39,987
Mara ya mwisho nilipodokeza juu ya kinachoendelea ndani ya Benki ya Posta kulisababisha baadhi ya watu kupoteza kazi zao. Hekima iliniita kuangalia jambo hili kwa namna tofauti tena. Nilitumaini mambo haya yangewaamsha watawala wetu kufuatilia na hatimaye kufanya mabadiliko yanayohitajika. Lakini wapi.
CEO wa Benki hiyo Bw. Alphonse Kihwele analalamikiwa kung'ang'ania madaraka yake hayo kwa kutumia vitisho na hata kudai mambo ambayo si ya kweli. Ripoti ya kwanza juu ya ufisadi chini yake ilidokezwa hapa miaka kama miwili iliyopita hivi.
Tunairudia tena ripoti ile hapa na kujiuliza hivi bado kuna mtu yeyote anayeweza kumuondoa huyo jamaa hapa au ndiyo hivyo tena?