Alphonce Mawazo akabidhi kata ya Sombetini rasmi kwa Ally Bananga | Page 5 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Alphonce Mawazo akabidhi kata ya Sombetini rasmi kwa Ally Bananga

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Mathias Lyamunda, Jan 20, 2014.

 1. M

  Mathias Lyamunda Verified User

  #1
  Jan 20, 2014
  Joined: Apr 4, 2013
  Messages: 1,362
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Jana Chadema Arusha ilifanya uzinduzi wa kihistoria wa uchaguzi wa kata ya Sombetini na le Captain Mawazo alitoa Hotuba kali iliyowaliza wana Sombetini wakikumbuka jinsi alivyowatumikia kwa uaminifu.

  Jana akisikilizwa na Maelfu ya wananchi wa Sombetini Captain Mawazo alimpa wosia mzito Bananga kuwa anakwenda kuwatumikia watu masikini kwahiyo watoto wa masikini ni watoto wake, wakifukuzwa shule kwa kukosa Ada wasiende nyumbani kwa wazazi wao waende kwa Ally Bananga, yeye ndo baba na Mama wa watoto wa Sombetini.

  Hotuba yake ili acha Visio kwa watoto na akina mama waliokuwepo kwa wengi mkutano. Nukuu: "Leo kwa moyo wa UJASIRI na unyenyekevu mkubwa na kumkabidhi Bananga kitu pekee kilichonifanya nijulikane kama mwanasiasa Arusha na nje ya Arusha, na kumkabidhi heshima ya kuigwa Mh. Diwani, MAMLAKA siyo kitu kidogo, nimeshuhudia watu wakiloga na kuua ili kuwa madiwani, hiyo na kuacha maana najua wewe ni diwani sasa, pili na kuacha posho wewe na wa wananchi wote WANAJUA kwamba sina hela na nina familia na mahitaji mengine, lakini hivyo vyote haviniumi, kinachoniuma kabisa ni kukua chia MPENZI wangu wa pekee ambayo ni kata ya Sombetini, MACHOZI ya kina mama hawa si kwasababu NYINGINE Bali ni upendo walionao kwangu uliotokana na utumishi na upendo usio na ubinafsi kamwe, niliwahi kutangaza watoto wote wa Sombetini ni watoto wangu, wakifukuzwa shule wasiende nyumbani kwa wazazi wao WAJE kwangu na divyo ilivyokuwa na wananchi ni mashahidi" mwisho wa kunukuu.

  Alimsihi Bananga Avae viatu vyake kisawasawa.

  Pia aliwashangaa WANASIASA wanaohutubia udini na ukabila aliwauliza wananchi ni nani anayeteseka nchi hii zaidi ya mkulima na mfugaji? Alikumbushia matukia ya kiteto ya wafugaji na wakulima walivyo uana kutokana na chuki za kikatil a zinazopandikizwa na watawala wa CCM, ni SERIKALI ya ccm ndio iliyoua Ng'ombe za wamasai kwenye operation tokomeza ujangili, alisema, nanukuu:

  "Tanzanite iko kwenu, mbuga za wanyama ZIKO kwenu, mbaya zaidi wamewageuza kuwa Sehemu ya utaki kwa kuwapiga picha na kupiga picha umasikini wenu, na imewapelekea vijana wenu KUKIMBILIA mjini kuwa walinzi wao kwa kukosa ardhi ya kulima na mails na malisho ya Ng'ombe kwahiyo ndugu zangu wa Maasai adui yenu siyo MCHAGA wala mdengeleko adui yenu ni CCM".

  Aliwaomba wananchi wote wa sombetini wamchague Bananga na waichague Chadema.
   

  Attached Files:

 2. mwekundu

  mwekundu JF-Expert Member

  #81
  Jan 21, 2014
  Joined: Mar 4, 2013
  Messages: 20,055
  Likes Received: 8,099
  Trophy Points: 280
  upside down umepindua picha
   
 3. babu musa

  babu musa Senior Member

  #82
  Jan 21, 2014
  Joined: May 8, 2013
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ma ccm yataipenda hiii
   
 4. masanjasb

  masanjasb JF-Expert Member

  #83
  Jan 21, 2014
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 2,366
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hongereni sana wanachadema mkoa wa arusha chini ya kamanda lema....hiyo kata pamoja na hujuma za ccm bado itaenda cdm kwa hali na mali.......inshaallaaah allah awe nasi
   
 5. masanjasb

  masanjasb JF-Expert Member

  #84
  Jan 21, 2014
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 2,366
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Tuwaombe mods wasaidie kurekebisha hizo pic mkuu
   
 6. Erythrocyte

  Erythrocyte JF-Expert Member

  #85
  Jan 21, 2014
  Joined: Nov 6, 2012
  Messages: 44,625
  Likes Received: 25,561
  Trophy Points: 280
  Hakuna ccm Arusha , kanyaga twende tukaikomboe jamii ya WAFUGAJI MONDULI .
   
 7. MUSSA ALLAN

  MUSSA ALLAN JF-Expert Member

  #86
  Jan 21, 2014
  Joined: Oct 13, 2013
  Messages: 18,964
  Likes Received: 7,718
  Trophy Points: 280
  Kwa sera zile za jana, sidhani kama atatoboa!
   
 8. MUSSA ALLAN

  MUSSA ALLAN JF-Expert Member

  #87
  Jan 21, 2014
  Joined: Oct 13, 2013
  Messages: 18,964
  Likes Received: 7,718
  Trophy Points: 280
  Nikipigwa risasi kanyaga maiti yangu, songa mbele kakomboe nchi!
   
 9. m

  mavuno nyamanoro JF-Expert Member

  #88
  Jan 21, 2014
  Joined: Nov 25, 2013
  Messages: 592
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  kweli kabisa
   
 10. NAPITA

  NAPITA JF-Expert Member

  #89
  Jan 21, 2014
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 5,076
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 160
  Mods ebu tunaomba mtulekebishie hizo Picha vizuri.
   
 11. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #90
  Jan 21, 2014
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,199
  Likes Received: 10,545
  Trophy Points: 280
  Ndoto za mchana ukiwa umesinzia baa....
   
 12. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #91
  Jan 21, 2014
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,199
  Likes Received: 10,545
  Trophy Points: 280
  Chama makini, watu makni, viongozi makini....Safi sana CDM......
   
 13. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #92
  Jan 21, 2014
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Wanadondoka
   
 14. n

  nkongu ndasu JF-Expert Member

  #93
  Jan 21, 2014
  Joined: Jan 19, 2013
  Messages: 22,526
  Likes Received: 3,757
  Trophy Points: 280
  Hongereni makamanda!
   
 15. m

  mmaranguoriginal. JF-Expert Member

  #94
  Jan 21, 2014
  Joined: Jan 1, 2014
  Messages: 4,066
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  yes yes ndio maana yake makamanda
   
 16. m

  mmaranguoriginal. JF-Expert Member

  #95
  Jan 21, 2014
  Joined: Jan 1, 2014
  Messages: 4,066
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  tutawapigana maccm mchana kweupe
   
 17. m

  mmaranguoriginal. JF-Expert Member

  #96
  Jan 21, 2014
  Joined: Jan 1, 2014
  Messages: 4,066
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  tutawapiga mchana kweupe hawa mizigo wa lumumba
   
 18. kibogo

  kibogo JF-Expert Member

  #97
  Jan 21, 2014
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 9,481
  Likes Received: 789
  Trophy Points: 280
  mawazo.jpg mawazo1.jpg

  Nyomi ya kiwango cha juu CCM hata wakusanye wanachama, washabiki na wapenzi wao Arusha nzima hawawezi kuifikia hii nyomi
   
 19. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #98
  Jan 21, 2014
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Daah,hata Kikwete hawezi kukusanya huu umati walahi
   
 20. o

  olevaroya JF-Expert Member

  #99
  Jan 22, 2014
  Joined: May 6, 2012
  Messages: 1,224
  Likes Received: 249
  Trophy Points: 160
  Mapambano mwanzo mwisho
   
 21. o

  olevaroya JF-Expert Member

  #100
  Oct 29, 2016
  Joined: May 6, 2012
  Messages: 1,224
  Likes Received: 249
  Trophy Points: 160
  Kweli kabisa kamanda
   
Loading...