Alphonce Mawazo akabidhi kata ya Sombetini rasmi kwa Ally Bananga

tumieni busara vijana wa c.c.m na siyo matusi.


Ni hoja kwa hoja ,msituletee tabia za kifisadi hapa jukwaani!

Jukwaa lenu nyie CHADEMA SACCOS ni kule ----------- forum kwa form four mwenzenu kubenea , Hapa JF ni kwa watu wenye hoja tu.
 
Jukwaa lenu nyie CHADEMA SACCOS ni kule ----------- forum kwa form four mwenzenu kubenea , Hapa JF ni kwa watu wenye hoja tu.

uwe na hoja wewe msukule! labda vioja,teh teh teh teh.......kapokee bukk 7 yako wewe na wanao mpate kwenda choo
 
God is good all the time...Ally mdogo wangu songa mbele , ccm inaangamia sasa weka muhuri kwenye jeneza lao
 
chadema ongezeni nguvu kidogo tu ccm imekufa! Dr Slaa baba ongeza nguvu tena kidogo tu ........ tuwaondoe majizi hawa!
 
anasema atakachokifanya atasimamia haki, michango ya kijinga kijinga ataikomesha mfano pesa ya vitambulisho na wale wanaochangisha ni lazima wawe na risit za serikali...

Sababu za kitoto hivi haziwezi kunishawishi nimpe kura!
 
Diwani anayesubiri kuapishwa Ally Bananga akisindikishwa na wapiga kura wake baada ya kumaliza mkutano jana Sombetini viwanja vya Manyara.HAKUNA ATAKAYESALIA. WAMEUKATAA UKABILA.


attachment.php


attachment.php
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    75.3 KB · Views: 115
  • imageC.jpg
    imageC.jpg
    12.9 KB · Views: 116
Back
Top Bottom