Alphonce Mawazo akabidhi kata ya Sombetini rasmi kwa Ally Bananga

sasa hivi ccm wanapita mitaani wakisema chadema ni chama cha kiislam kisa wamesimamisha mgombea muislamu...
 
lema anawaambia ccm wakipita majumbani kwenu kugawa sukari na pesa chukueni...
 
chama kilichokosa muelekeo!udini,ukabila nk

Kweli, CCM imekosa mwelekeo! Ujamaa na kujitegemea imeacha kivitendo japo jukwaani wanahubiri!
Viongozi wake wanagawa watu kwa misingi ya dini, kabila na kanda zao!
WAVIVU WA KUFIKIRI, WATU WENYE UCHU WA RASILIMALI ZETU, WASALITI, WABAKAJI, WAUAJI!
Umesema kweli kabisa aise.
 
tena huyo ajadakwa vizur,angetakiwa akifikishwa hosptl madaktar badala ya kumtibu wanampa bia,wakidhn ni dawa kwa jinsi alivyopauka,hamuwez kutuaharibia jiji letu kila siku

Bado mko na ile agenda yenu ya kuhamisha Wachaga warudi kwao au mmesha-surrender baada ya Ole Medeye kupigwa nyama chini??
 
Bananga anawashukru sana wana sombetini kwa kujitokeza kwq wingi huku wakiacha kabisa kwenda kwenye mikutano ya ccm...
 
anasema atakachokifanya atasimamia haki, michango ya kijinga kijinga ataikomesha mfano pesa ya vitambulisho na wale wanaochangisha ni lazima wawe na risit za serikali...
 
Adui yenu si mchaga ila ni ccm inayopelekea nyie kuwa walinzi wake. Dah! Inauma lakini mh

Ha ha ha haaa! safi sana na kwa watanzania woote tukatae kugeuzwa mtaji wa ushindi kwa CCM kwa vigezo vya ahadi hewa!
 
Ukanakaa Arusha wapi? Maana unasema imerudi nyuma kulinganisha jimbo gani Tanzania linalokwenda mbele?
Mi nasema apigwe tu, uhuni umeifanya ARUSHA irudi nyuma kimaendeleo kwa SIASA za ovyo ovyo za LEMA wanywa viroba wenzake.
 
anasema atakapo apa tu ataanza na hawa wanao changisha wananchi bila kuambiwa pesa zinaenda wapi na bila kupewa risiti hawa ni majambazi, nakwenda kuwa kiongozi wenu, na siendi kuwa mtawala naomba mniunge mkono..
 
lema anamuuliza kwanini alikuwa ccm wakati anaakili, bananga anasema kwakuwa alisha tubu anaomba wamsamehe...
 
Mi nasema apigwe tu, uhuni umeifanya ARUSHA irudi nyuma kimaendeleo kwa SIASA za ovyo ovyo za LEMA wanywa viroba wenzake.


Mipumb...avu kama wewe humu jukwaani mnahesabika.
Pole kwa ujinga wako ulioupost!
 
Back
Top Bottom