Aloe Vera

Wamenizingua. Maana nimeangalia hiyo flow nikaona wanajijibu. Halafu huyo Monica thread zake zote ni Aruvela tuuuu.

Hawa wa Aruvela niliwahi kukutana nao, nikawauliza maswali weeee. Wakaniambia niko very presentable, wakataka wani-recruit, nikawaambia nipeni madawa yenu bure nijaribu....wakakataa, wakasema lazima ununue, ah nikaona tunayeyushana, sasa nyie kama mnataka mniconvince madawa yenu yanafanya kazi si mnipe bure ili nikifanikiwa niwatangazie biashara kwa nguvu zote. Nikawa-promise nitajitafutia liugonjwa nijiponyeshe na Aruvela, ili niwe living proof. Wakataka nilipe sijui £200...mmh, sasa child support nitalipa vipi?

Tukazenguana, nikawaambia waishie na li-pyramid scam lao.
Ni monica yupi ambaye,umeongea naye?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom