Ni Mmea Unaosaidia Matatizo Mengi,ila Ni Aloe Vera Ya Aina Gani Ambayo Inasaidia,matatizo Ya Kichwa Cha Muda Mrefu,kisukari,choresto,na Matatizo Mengi Ya Aina Mbali Mbali,
....Ni mada ya aloe vera je aloe vera kuna aina nyingi wewe unaongelea ipi?Mimi nazungumzia Aloe vera Berbandisis Wewe unajua Ipi?...una uliza swali?au umeanzisha mada?
..anyways,aloe vera inasaidia zaidi afya ya tumbo na ngozi,kwa kuinywa na kuipaka!
..hicho kichwa cha muda mrefu kimefanyaje?kuwa specific!
..cholesterol,tumia mafuta ya pamba na alizeti!usihusudishe fast foods na ufanye mazoezi kwa kiasi,hata yale ya kitandani usiwe mvivu!
..kisukari,sijui!mwingine atachangia!
....Ni mada ya aloe vera je aloe vera kuna aina nyingi wewe unaongelea ipi?Mimi nazungumzia Aloe vera Berbandisis Wewe unajua Ipi?.
....Ni mada ya aloe vera je aloe vera kuna aina nyingi wewe unaongelea ipi?Mimi nazungumzia Aloe vera Berbandisis Wewe unajua Ipi?.
>kichwa ninacho maanisha ni kile Kinauma sana mpaka anafikia kuzimia,mtu ambaye anasumbuliwa na kichwa mara kwa mara
Monica nakuunga mkono hata mimi natumia na niko huko ila TUWAELIMISHE PIA KUA BIASHARA HIYO INAFAIDA GANI?NA HOW THEY CAN GET MONEY OUT OF IT waelimishe pia kuhusu marketing plan yake.....hasa wale wanaotaka extra income/ unlimited income........www.foreverliving.com
Aloe vera ni nzuri sana. Familia yangu inatumia product ya GNLD International, Juice iliyotengezwa kutokana na mmea huo. Kama kuna mtu anahitaji anaweza kupata hapa nchini.
Hich kichwa mnachokiongelea hapa ndo "KIPANDA USO?" au ni kichwa cha aina gani
Ni Mmea Unaosaidia Matatizo Mengi,ila Ni Aloe Vera Ya Aina Gani Ambayo Inasaidia,matatizo Ya Kichwa Cha Muda Mrefu,kisukari,choresto,na Matatizo Mengi Ya Aina Mbali Mbali,
....Ni mada ya aloe vera je aloe vera kuna aina nyingi wewe unaongelea ipi?Mimi nazungumzia Aloe vera Berbandisis Wewe unajua Ipi?.
>kichwa ninacho maanisha ni kile Kinauma sana mpaka anafikia kuzimia,mtu ambaye anasumbuliwa na kichwa mara kwa mara
Nitashindwa kukupa maelezo marefu kuhusu tiba aliyo pitia ila nataka tu kukuwambia mpaka alipofikia kwangu akanieleza jinsi kichwa kinavyomuuma na hali ambazo zilishamtokea nilichukua kitabu changu cha magonjwa na tiba yake na kumpa tiba iliyokamili ya aloe vera na vidonge vyake sasa ni mzima na anaendelea na vema kazi yake.
Hi Jafar,Aloe vera kuna aloe vera za aina nyingi sana na hata majumbani mwetu tumepanda lakini hii ninayoongelea ni aina ya Aloe Barbadensis miller.fungua www.foreverliving.com utapata maelezo ya product nyingi za aloe vera.
Aloe vera ni nzuri sana. Familia yangu inatumia product ya GNLD International, Juice iliyotengezwa kutokana na mmea huo. Kama kuna mtu anahitaji anaweza kupata hapa nchini.
Monica nakuunga mkono hata mimi natumia na niko huko ila TUWAELIMISHE PIA KUA BIASHARA HIYO INAFAIDA GANI?NA HOW THEY CAN GET MONEY OUT OF IT waelimishe pia kuhusu marketing plan yake.....hasa wale wanaotaka extra income/ unlimited income........www.foreverliving.com
Hi Mandilo,
Kwanza nakupa hongera kwa kuingia katika business hii.umeona mbali.
Umefika mbali mno katika biashara Mandilo kwani biashara ni utashi wa Mtu si lazima ninachotaka kuelezea jinsi gani ya faida ya ALOE VERA na inasaidia nini ,na ni aloe vera ya aina gani.Huko kwenye biashara ni utashi wa mtu akitaka kujua kwa undani zaidi.Mwingine atapenda kutumia lakni hataki habari ya biashara hivyo tuwaelimishe watu faida zake kwanza atakaependa sasa hapo unaenda upande wa pili wa shilingi
asante kwa ushauri wako
Hi Nicas
Aloe vera ya GNLD ni aina gani?Je umeshatumia aloe vera ya Forever Living Product? Nakushauri jaribu ya FLP ni pure aloe vera Karibu
Hivi, kuna wauzaji wa aruvela hapa? maana sijaelewa kama mtu anaumwa kweli au mtu anauza hiyo aruvela katika thread hii na ku-recruit kiaina. Na hiyo aruvela huwa inafanya kazi kweli au ni kamba tu za mtu fulani?
Wamenizingua. Maana nimeangalia hiyo flow nikaona wanajijibu. Halafu huyo Monica thread zake zote ni Aruvela tuuuu.Defunk, wameanza kukuzingua nini au nawe unauza 'aruvela' ila sasa umepata wapinzani?! lol
SteveD.
Wamenizingua. Maana nimeangalia hiyo flow nikaona wanajijibu. Halafu huyo Monica thread zake zote ni Aruvela tuuuu.
Hawa wa Aruvela niliwahi kukutana nao, nikawauliza maswali weeee. Wakaniambia niko very presentable, wakataka wani-recruit, nikawaambia nipeni madawa yenu bure nijaribu....wakakataa, wakasema lazima ununue, ah nikaona tunayeyushana, sasa nyie kama mnataka mniconvince madawa yenu yanafanya kazi si mnipe bure ili nikifanikiwa niwatangazie biashara kwa nguvu zote. Nikawa-promise nitajitafutia liugonjwa nijiponyeshe na Aruvela, ili niwe living proof. Wakataka nilipe sijui £200...mmh, sasa child support nitalipa vipi?
Tukazenguana, nikawaambia waishie na li-pyramid scam lao.
lol,Duuh, yaani kama hivi:
...
Kumbe nawe unaogopa sana CSA !!! lol
SteveD.