Alo nyuma atangulie mbele wa usoni twende | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Alo nyuma atangulie mbele wa usoni twende

Discussion in 'Jamii Photos' started by Babylon, Aug 21, 2010.

 1. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #1
  Aug 21, 2010
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  :violin:Hivi !!
  [​IMG]


  [​IMG]


  Hali kama hii ndiyo inayowafanyawazazi wa kike kukompiti na watoto :tongue:
   
 2. Jumboplate

  Jumboplate Senior Member

  #2
  Aug 23, 2010
  Joined: Jul 29, 2008
  Messages: 133
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Moja ya vivutio vya utaliii??????????
   
 3. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #3
  Aug 23, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Choka mbaya hamna kitu hapo
   
 4. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #4
  Aug 23, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Vivutio vya utalii kwa mapedeshee
   
 5. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #5
  Aug 23, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,822
  Likes Received: 10,118
  Trophy Points: 280
  Mmh, ni mamiss au ni mabaunsa???
   
 6. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #6
  Aug 23, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180

  Do wapeni kamotisha basi:becky:
   
 7. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #7
  Aug 25, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ...Pole pole mkuu...mbona patamu tu vimichongoma viko sawa kabisa..:A S 8::A S 8:
   
 8. Kilbark

  Kilbark JF-Expert Member

  #8
  Aug 25, 2010
  Joined: Feb 25, 2008
  Messages: 558
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Walienda kuchimba dawa wakazuga eti Mto Wami! Weweeee Mambo iko huku!
   
 9. Makanyaga

  Makanyaga JF-Expert Member

  #9
  Aug 25, 2010
  Joined: Sep 28, 2007
  Messages: 2,498
  Likes Received: 127
  Trophy Points: 160
  Usiwaponde baba yangu, choka mbaya ni yetu sisi sote wabongo, na mbaya zaidi tulishapandikizwa mawazo ya kujiona sisi hatufai, na kila kilicho chetu hakifai! Hivyo vitoto jamani vinavyopendeza na hizo "black is beuaty" colors bado unaviponda? Nadhani wangekuwepo vitimoto ungesifia sana. Bado hujajua siri ya urimbo wa "blacks" au huwa huwezi kuwalinganisha vizuri PRACTICALLY na rangi zingine kwa wakati mmoja! Jaribu kufanya hivyo siku moja halafu commemnts zako utakuja kuziona kama ziko fair au unfair!
   
 10. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #10
  Aug 25, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Haya bana mwamba ngozi huvutia kwake...
   
 11. KIMICHIO

  KIMICHIO JF-Expert Member

  #11
  Aug 25, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 1,184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Tehe tehe tehe tehe viburudisho vya wataliii!!!!!
   
Loading...