Changalucha
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 505
- 582
Mbona wewe hujafanya acknowlegement yeyote Comrade? Wakati nayapitia makala haya nimekutana na taarifa na hata 'phrase' kutoka vyanzo kadhaa ikiwemo akina Edward Jayesptein na Williamson- The Diamond Seeker of Mwadui.Ukinakili kazi zangu kumbuka kufanya acknowledgment.