Almanusra huyu dada agongwe na pikipiki kwa kosa la kutazama zigo la mwenzake

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,697
9,774
Dakika chache zilizopita kutokea sasa wakati nikiwa zangu hapa dukani nikitizama wateja kama watakuja kuchangia maendeleo ya uchumi, kapita mwanadada aliyefungasha zigo nyuma!

Sio siri, kila mwanaume rijali amegeuka kumwangalia! Hata yule baba aliyepita akiwa na mkewe naye amegeuza shingo yake kwa kasi ya ajabu! Hata nawe msomaji ni lazima ungeligeuka kuyatazama maajabu ya muumbaji!

Cha kushangaza, kapita mwanadada mwingine muda huo huo wakati huyu mbarikiwa akiwa anaendelea na madaa yake, baada ya kupishana, huyu mwanadada kimbaumbau (sio kiivyo, ni wa kawaida tu, mfano wa binti wa kichaga kutoka marangu) amejikuta anageuka kutazama kinachotazamwa! Nahisi alichanganywa na mitetemo kiasi cha kutaka kugongwa na pikipiki ambayo bodaboda wake alikuwa akiendesha huku akitupia jicho la wizi kuelekea sehemu ya tukio ya yule mwanadada mbarikiwa! hakika amepata aibu sana kwa sababu mada yote ilihamishiwa kwake! Na yule mbarikiwa akasahaurika!

Kinachoniwazisha ni kipi hasa kimemfanya huyo dada kupagawishwa na mwenzake kiasi cha kutaka kupata ajali wakati wote ni wanawake? Yaani ni sawa na mwanaume kumuona mwanaume mwenzako anakifua kizito kiasi cha kupagawa kufikia hatua ya kukoswakoswa na magari! Kitu ambacho hakipo! Sasa ni kwanini kwa huyo mdada?
 
Mmh!
Kwaiyo una maana kuwa kama angekuwa sehemu ya maficho angelimtongoza huyo dada na kuchukua namba yake?

Na angelianzaje kumuomba sijui niseme papuchi! Dah! Hii nchi ina mengi!

Na raha anaipataje? Au anakuwa na hormone za kiume! Au ndo wale ma tom boy!!
 
Dakika chache zilizopita kutokea sasa wakati nikiwa zangu hapa dukani nikitizama wateja kama watakuja kuchangia maendeleo ya uchumi, kapita mwanadada aliyefungasha zigo nyuma!

Sio siri, kila mwanaume rijali amegeuka kumwangalia! Hata yule baba aliyepita akiwa na mkewe naye amegeuza shingo yake kwa kasi ya ajabu! Hata nawe msomaji ni lazima ungeligeuka kuyatazama maajabu ya muumbaji!

Cha kushangaza, kapita mwanadada mwingine muda huo huo wakati huyu mbarikiwa akiwa anaendelea na madaa yake, baada ya kupishana, huyu mwanadada kimbaumbau (sio kiivyo, ni wa kawaida tu, mfano wa binti wa kichaga kutoka marangu) amejikuta anageuka kutazama kinachotazamwa! Nahisi alichanganywa na mitetemo kiasi cha kutaka kugongwa na pikipiki ambayo bodaboda wake alikuwa akiendesha huku akitupia jicho la wizi kuelekea sehemu ya tukio ya yule mwanadada mbarikiwa! hakika amepata aibu sana kwa sababu mada yote ilihamishiwa kwake! Na yule mbarikiwa akasahaurika!

Kinachoniwazisha ni kipi hasa kimemfanya huyo dada kupagawishwa na mwenzake kiasi cha kutaka kupata ajali wakati wote ni wanawake? Yaani ni sawa na mwanaume kumuona mwanaume mwenzako anakifua kizito kiasi cha kupagawa kufikia hatua ya kukoswakoswa na magari! Kitu ambacho hakipo! Sasa ni kwanini kwa huyo mdada?
Picha iko wapi?
 
utandawazi huo.
Teknolojia imekua Sana,
Na gharama za surgery zimeshuka sana
Lesbians, shemales, hermaphrodites na transwomen Ni wengi mno humu mitaani.
 
Mbona ni kawaida sana, Nimeshawaona mara nyingi sana wanawake wakipata fadhaa baada ya kuona viuno vya wanawake wenzao, SIjui inatokana na nini kwa kweli.
 
Ni kawaida kwa mdada kuvutiwa na mdada mwingine.
Wanawake ni watu wa ajabu sana sio ajabu nae anawaza kuna siku naye atakuwa kama mwenye zigo,japo ni kimbaumbau ila mkuu duka lake litakua limetegwa sehemu nyeti sana,tuwekee VAR
 
Back
Top Bottom