Ally Mayai Tembele alipata division 0 form 6 au form 4

wakusoma

JF-Expert Member
Feb 25, 2008
1,085
1,049
Nikimjua vizuri yeye Ali..kwa maana tukiishi jirani kabisa..na mama yake mzazi Ali pale Dodoma kuna sehem alipata 0..kama sio form 4 basi 6..

Yeya alikuwa akisomea secondary dar es salaam.. Makongo sijui makongo..sasa ataweza kweli kuongoza TFF??

Mkibisha hii naleta jingine.
 
Labda pale Central, maana alichezea CDA huku akisoma. Ila sina hakika kama alipata zero.
 
Sasa tatizo ni nini? OK! Tu - assume weye una "one"! Umeleta faida gani Tanzania zaidi ya kujaza choo? Moron! Hivi ni nani huwa anawatuma m-propagate u pompompoo?
 
Nikimjua vizuri yeye Ali..kwa maana tukiishi jirani kabisa..na mama yake mzazi Ali pale Dodoma kuna sehem alipata 0..kama sio form 4 basi 6..

Yeya alikuwa akisomea secondary dar es salaam.. Makongo sijui makongo..sasa ataweza kweli kuongoza tff??

Mkibisha hii naleta jingine.

Huyu ni muhitimu wa Degree Na alikua Rais wa Chuo cha CBE Dar..

Siasa za majitaka hizi.
 
Uwezo wa kipambanua na kuleta ufanisi ndio mambo tunayotaka sio jamaa amejaa ubabaishaji tu, haeleweki anavision gani? Elimu sio kigezo angalia maprofesa uchwara tulionao na na wametufikisha wapi kwa kigezo chako cha elimu
 
Back
Top Bottom