wale wale sijui kama tutafika.mi mwenyewe nashauri sadaka ziwe zinatozwa kodi na pia cag awe anapita huko. Maana zile ni pesa za umma isije ikawa wakina lusekelo wanajitajirisha tu.
wale wale sijui kama tutafika.
Huyu ni mwakilishi wa jimbo gani? Hata hao waliomshangilia bungeni hawakufikiri kabisa wamefanya kama formality. Huenda ni kanuni za bunge kumshangilia kila msemaji. Kampuni kutoka nje zinamaliza rasilimali za watanzania tena kwa kusamehewa kodi. Anafahamu jinsi vikao vya harusi vinavyoendeshwa, yeye anafikiri michango kwa ajili ya harusi moja ni endelevu kwa kiasi gani ili kutunza kumbukumbu zitakazo isaidia serikali kukusanya kodi?. Huyu mbunge...
Mungu atuhurumie.
Akichangia hoja leo bungeni, Ally Mohemed Keissy mbunge wa Nkasi Kaskazini kwa ticket ya CCM ameshauri harambee zote au michango yote, ikiwepo michango ya makanisa, misikiti, harusi au chochote ili mradi watu wanachangia pesa basi itozwe kodi.
Pia aliitaka serikali ipeleke matangazo yake YOTE TBC ili kukijengea uwezo kituo hicho, amesema hata serikali ya uingereza hupeleka matangazo BBC
kujua zaidi kuhusu mh keissy, soma cv yake hapa Parliament of Tanzania
niliwahi kusema, tuwe na kiwango cha chini cha elimu mtu kuwa mbunge, mfano lazima na form six or equivalent, kuiacha wazi, kwamba hata std 7 anaweza kuwa mbuge, tutegemee michango ya hivi kwa miaka mingi ijayo
Acha liniency kwenye mambo ya msingi mkuu mbunge lazima awe na bachelor!!!!!
Sasa huyu havuti bangi anaongea hivi sijui angevuta ingekuwaje??
basi inawezekana anavuta maana mtu mwenye akili timamu huwzi kutokwa na mapovu kamahaya!!!hapo kweye red, una uhakika gani we mndengereko? nauliza tu!
ile ilikua mfano tu chief, point ilikua there should be a minimum educational qualification to become an MP, kwamba ipi sasa iwe minimum qualification, hiyo inahitaji discussion and analysis.
wale wale sijui kama tutafika.
Sijui hizi ni adhabu za kuwaacha miungu wetu? Maana mbona waafrika tuna sali sana kwa huyu Mungu aliyetoka hapo middle east lakini majanga hivi.
Angekua anatusikiliza kweli angekubali takataka kama hio ituongoze?
basi inawezekana anavuta maana mtu mwenye akili timamu huwzi kutokwa na mapovu kamahaya!!!
hahahaaaaaa! aisee jamaa kama huwa anapita humu, akikutana na hii, akiamama, atakutafuta!
Namwonaga ka mlevi! Wananchi wetu bankAkichangia hoja leo bungeni, Ally Mohemed Keissy mbunge wa Nkasi Kaskazini kwa ticket ya CCM ameshauri harambee zote au michango yote, ikiwepo michango ya makanisa, misikiti, harusi au chochote ili mradi watu wanachangia pesa basi itozwe kodi.
Pia aliitaka serikali ipeleke matangazo yake YOTE TBC ili kukijengea uwezo kituo hicho, amesema hata serikali ya uingereza hupeleka matangazo BBC
kujua zaidi kuhusu mh keissy, soma cv yake hapa Parliament of Tanzania