Ally Kiba afunguka: Siwezi kamwe kufanya Collabo na DIAMOND

Kutana na Diamond - mfanyabiashara na Ally Kiba - Mwanamuziki.

Ally Kiba anajua anafanya nini kwenye Industry banaaaa
 
Vyovyote msemavyo lakini ukweli ni kwamba Ally ana mengi ya kujifunza kutoka kwa Diamond, aache kupotezwa na sifa za kitoto "anajua...anajua" na kuishia kukaa chini na kusubiri mambo yatokee yenyewe...aache maneno yasiyo na maana kuhusu wasanii wenzake waliomzidi........na tuache kubishana ki analogia....tupo dunia ya digitali..........YOUTUBE n.k. Ally ni kweli anajua.......lakini haitoshi afanye kazi aache kujibweteka.....na sio yeye pekee......pia kina Marlow na wengine......
 
Wanamdanganya wanaomwambia anajua sana ,na kumfanya apumzike kwenye comfort zone!kimuziki ukweli ukweli wote hawaujui......sio vocalz,sio kuimba!ila biashara ya muziki kuna mmoja kamzidi sana mwenzie!!
 
The truth is diamond is only game in town! Jamaaa katoka c utani wakuu! Huitaji kwenda shule kugundua ili! Hata km anapenda sifa bt thr the guy deserves! Ally kb ajipange upya maake diamond cyo level yake tena!
 
Hivi kwenye top five ya wanaojua kuimba hapa bongo nikimaanisha vocalist mtamuweka huyo diamond. Kama ni entertainer si ajiunge makomandoo huko wakaimbe ugonjwa wa moyo... ki ukwel ukiniekea my number one na usiniseme ntausikiza usiniseme mara mia....hio my number one isingekuwa video angekaa hapo hakuna kitu kabisaaa.... atabaki kuwa fans wa waendesha toyo...
 
Mmmh cna mengi but mmb mazuri hayasemwi kbs acha watu washuhudie wenyewe then washauti.... toka ujue music msanii gn mwenye mafanikio akajitangaza? Mfano mzuri AY anaemilili apartment yakwake Johannesburg southafrica ambayo hufikia kina dbanj hata cku1 hajawai sema....khs diamond naona anapendwa na wtt na teenagers bac ambao mara nyng huwa ways KBS,kiba upo juu kiukwl tumpe mda dimond atachoka tu
 
Mmmh cna mengi but mmb mazuri hayasemwi kbs acha watu washuhudie wenyewe then washauti.... toka ujue music msanii gn mwenye mafanikio akajitangaza? Mfano mzuri AY anaemilili apartment yakwake Johannesburg southafrica ambayo hufikia kina dbanj hata cku1 hajawai sema....khs diamond naona anapendwa na wtt na teenagers bac ambao mara nyng huwa ways KBS,kiba upo juu kiukwl tumpe mda dimond atachoka tu
Tusitoke kwenye pointi na kuukuza mjadala bure........ishu hapa ni nani yupo juu kuliko mwenzake kwa mashabiki (followers).....na ubishi kuwa Kiba ndiye yupo juu ni wa kinadharia. Kila anatefanya mtihani malengo ni kupata +A, sasa kama kupata -C na D, kwenu ndio kuongoza......hii ni ajabu. Pia sidhani kama hapa tunashindanisha vocals, ziada aliyonayo Diamond ni bidii na kujituma...hilo halihitaji digrii kuliona....hata kama kwa vocals wapo wanaomzidi.....na hapa tunaongelea wakati uliopo (leo)..so ishu ya ataanguka sijui inaingiaje...hayo tusubiri akishaanguka. Pia sidhani kama kuna ushindani wa umiliki wa mali kwa kumlinganisha na AY.......ushindani hapa ni FOLLOWERS. Nilipokuwa nasoma secondary....kwenye darasa letu mimi nilikuwa mmoja wa wanafunzi wanaosifiwa (na mademu) kuwa ni handsome.....na hakukuwa na ubishi kwenye hilo.....lakini nilikuwa nipo COOL sana na mwenye aibu.....ila inapokuja kwenye ishu ya kupata demu mkali...kulikuwa na jamaa anaitwa Moses...almaarufu kama MOZEE...jamaa hakuwa handsome kihivyo..ila alikuwa ni mtu mcheshi, mastory (mengi ya uongo), mbabe (bully),yaani jamaa alikuwa na "domo".....wakati mwingine bifu na maticha......huwezi kuamini jamaa mademu wakali wote walikuwa wa kwake...na sio kwamba alitoka kwenye familia ya kihiiivyo...nilikuwa nimemuacha mbali tu. Siku moja ilitokea kwenye mastori ya hapa na pale alituambia (baada ya kumfagilia juu ya mademu).......My men....girls wanahitaji zaidi ya kuwa handsome...usisubiri wakufuate kwa sababu eti wewe ni handsome. Mpaka tunamaliza shule niliishia tu kuitwa handsome na hao mademu.....huku naishia kukenua meno na kuangalia chini kwa aibu.... Huu ni mfano hai ingawa si wa kuungwa mkono kimaadili......lakini nadhani mmepata point....DONT JUST SEAT BACK AND RELAX.....GET UP AND DO SOMETHING.........
 
Back
Top Bottom