Ally Kiba afunguka: Siwezi kamwe kufanya Collabo na DIAMOND

Hapo Kiba amesound ki wivu zaidi.......na kama mtoto wa kiume asingepaswa kuropoka hivyo.

It sounds funny..........sasa wakicollabo ni nani atamuinua mwenzake ?

Hebu muulize Nay wa Mitego kuhusu "Muziki gani".......hayo angetamka Diamond dhidi ya Ally inge make sense....

Na sio kweli kwamba kuna MSANII asiyependa publicity.....unless iwe ni negative publicity inayomuua msanii....other wise wasioweza ku handle hiyo hali wamekwepa kuingia kwenye sanaa...nikimaanisha kuna wengi wana uwezo wa kuimba ila wametafuta shughuli nyingine kwa kutoweza kuhimili maisha ya SPOT LIGHT.......so sio kweli kwamba hapendi sifa........ukweli ni kwamba hauzi kihivyo kuwapa sababu chombo cha habari kumuwinda na kutumia rasilimali zao.

CLOUDS WANAMBANIA....mmh.......na Marlow je ? kuna mtu anaweza kupinga kuwa Marlow anajua ? sasa kwa nini iwe Kiba na sio Marlow ?

Lazima Kiba ajue kusifiwa tu kuwa anajua haitoshi.......bidii na kujituma kunahitajika....sio uwezo wa kuimba pekee ndio unaoleta mashabiki na uungwaji mkono.....kuna zaidi ya hayo......hata ufanyaji wako kazi ni sehemu ya mvuto kwa jamii yako....na hicho ndicho kina mbeba Diamond.

Ila Ally Kiba una asili ya uvivu kulinganisha na Diamond ambaye hata historia yake inaonyesha ni mpiganaji....asiyekaa na kusubiri....ila anatoka na kutafuta.

............Subiri kupiga deki bahari bro.........
 
mkuu FYATU inaelekea haufuatlii mambo ya industry ya mziki..
pole kwa kukurupuka kuchangia usichokijua..

CHANZO CHA BEEF YA ALLY K NA DIAMOND:-
ally k alimwimbia diamond wimbo wa single boy kabla hajaurekod diamond akaupend akamuomba ally k amshrikishe diamnd ally k akawa hataki na matokeo yake ally k akamshrikisha jide kwny ngoma hyo..diamond akapata hasira nae akafuta saut za ally k kweny wmbo wake wa lala salama ambao ally k alipga back mule..HIVO KAMA ALLY K ANGEKUA NA SHIDA SANA NA DIAMOND ASINgemkatalia collabo ambpo diamond ndo alijipendekeza,na kama diamond ni mkali kiivyo asingemuomba kiba ampigie back tu kweny wmbo wake wa lala salama..

Then jionee aibu mwenyewe kwa kumfananisha KIBA NA mpga kelele NAY WA MITEGO..
 
Last edited by a moderator:
kitu kingne..

chukulieni mfano wimbo wa KIDELA ambao ALLY KIBA na ABDU KIBA(KIBA SQUARE) waliutoa MWEZI WA 12 MWAKA 2012,mpaka sahivi MWEZI WA 12 MWAKA 2013 ni HIT SONG(inavuma saaaaana),Wakati huo wimbo wa OMMY DIMPOZ-ME AND YOU,ambao ulitoka pamoja umeshapotea,wimbo wa DIAMOND-MY NUMBER ONE ambao umetoka mwaka huu katikati unaelekea kupotea..

tofauti ya hawa watu ni kwamba DIAMOND anapenda sana kujitangaza kwa vitu vdogo kulko ALLY KIBA,chukulia mfano,Kwa mwaka jana ALLY KIBA ndie msanii wa TANZANIA anaeongoza kwa kupiga show ulaya(source::CLOUDS FM),lakin kuna baadhi ya watu hawajui wandhani ni DIAMOND kwasababu ya kujitangaza kwake 'ovyo'..
 
Alikiba hakitumi fulstop, ni ujinga kwa legend kama yeye aliyeawika na tangu nikiwa form 5 anakuja kuzidiwa na kitoto kilijoanza juz, this iresonsbility, akubali kuzidiwa na ajifunze toka kwa domo, ndo maisha, aache wivu wa kike

Sasa hivi upo form ngapi? Usiniambie Six. Nani kasema D amemzidi Kiba? Katika sector gani?
 
Hapo Kiba amesound ki wivu zaidi.......na kama mtoto wa kiume asingepaswa kuropoka hivyo.

It sounds funny..........sasa wakicollabo ni nani atamuinua mwenzake ?

Hebu muulize Nay wa Mitego kuhusu "Muziki gani".......hayo angetamka Diamond dhidi ya Ally inge make sense....

Na sio kweli kwamba kuna MSANII asiyependa publicity.....unless iwe ni negative publicity inayomuua msanii....other wise wasioweza ku handle hiyo hali wamekwepa kuingia kwenye sanaa...nikimaanisha kuna wengi wana uwezo wa kuimba ila wametafuta shughuli nyingine kwa kutoweza kuhimili maisha ya SPOT LIGHT.......so sio kweli kwamba hapendi sifa........ukweli ni kwamba hauzi kihivyo kuwapa sababu chombo cha habari kumuwinda na kutumia rasilimali zao.

CLOUDS WANAMBANIA....mmh.......na Marlow je ? kuna mtu anaweza kupinga kuwa Marlow anajua ? sasa kwa nini iwe Kiba na sio Marlow ?

Lazima Kiba ajue kusifiwa tu kuwa anajua haitoshi.......bidii na kujituma kunahitajika....sio uwezo wa kuimba pekee ndio unaoleta mashabiki na uungwaji mkono.....kuna zaidi ya hayo......hata ufanyaji wako kazi ni sehemu ya mvuto kwa jamii yako....na hicho ndicho kina mbeba Diamond.

Ila Ally Kiba una asili ya uvivu kulinganisha na Diamond ambaye hata historia yake inaonyesha ni mpiganaji....asiyekaa na kusubiri....ila anatoka na kutafuta.

............Subiri kupiga deki bahari bro.........

Mkuu umeandika meengi lakini @ the end hiyo habari imeandaliwa na kuratibiwa na mtoa thread na sio official toka kwa Ally Kiba
 
kitu kingne..

chukulieni mfano wimbo wa KIDELA ambao ALLY KIBA na ABDU KIBA(KIBA SQUARE) waliutoa MWEZI WA 12 MWAKA 2012,mpaka sahivi MWEZI WA 12 MWAKA 2013 ni HIT SONG(inavuma saaaaana),Wakati huo wimbo wa OMMY DIMPOZ-ME AND YOU,ambao ulitoka pamoja umeshapotea,wimbo wa DIAMOND-MY NUMBER ONE ambao umetoka mwaka huu katikati unaelekea kupotea..

tofauti ya hawa watu ni kwamba DIAMOND anapenda sana kujitangaza kwa vitu vdogo kulko ALLY KIBA,chukulia mfano,Kwa mwaka jana ALLY KIBA ndie msanii wa TANZANIA anaeongoza kwa kupiga show ulaya(source::CLOUDS FM),lakin kuna baadhi ya watu hawajui wandhani ni DIAMOND kwasababu ya kujitangaza kwake 'ovyo'..

Akaenda kumong'onyoa mauno kwenye harusi ya yule jamaa kule Nigeria...kumbe hata hakualikwa...dah
 
kitu kingne..

chukulieni mfano wimbo wa KIDELA ambao ALLY KIBA na ABDU KIBA(KIBA SQUARE) waliutoa MWEZI WA 12 MWAKA 2012,mpaka sahivi MWEZI WA 12 MWAKA 2013 ni HIT SONG(inavuma saaaaana),Wakati huo wimbo wa OMMY DIMPOZ-ME AND YOU,ambao ulitoka pamoja umeshapotea,wimbo wa DIAMOND-MY NUMBER ONE ambao umetoka mwaka huu katikati unaelekea kupotea..

tofauti ya hawa watu ni kwamba DIAMOND anapenda sana kujitangaza kwa vitu vdogo kulko ALLY KIBA,chukulia mfano,Kwa mwaka jana ALLY KIBA ndie msanii wa TANZANIA anaeongoza kwa kupiga show ulaya(source::CLOUDS FM),lakin kuna baadhi ya watu hawajui wandhani ni DIAMOND kwasababu ya kujitangaza kwake 'ovyo'..

Ni kweli inawezekana sina ufahamu wa kiwango cha juu kuhusiana na industry ya muziki...ingawa pia sijui ni ufahamu kiasi gani unahitajika kuona, kushauri na hata kufanya tathmini kwa kiwango cha kawaida tu kama nilivyofanya.

Kichwa cha habari kinasema...alichosema Ally Kiba, bado nasimamia maneno yangu kuwa Kiba ameonyesha rangi yake halisi ambayo ni WIVU.

Kuhusu uwepo wa bifu na lilianzia wapi haimuhalalishii Kiba kutamka kana kwamba yeye ndiye mwenye nafasi ya kumnufaisha Diamond kuliko Diamond ambavyo angemnufaisha Kiba.

Sipingani na yeyote kuwa Kiba anajua kuliko Diamond.....ila ninachosema ni uwezo wake mdogo kama msanii kwenda zaidi kuiteka hadhira.

Michael Jackson alianza muziki na ndugu zake (Jackson 5) ila mwisho wa siku maji yalijitenga na mafuta...sasa sijui kama unahitaji digrii kuona kwa nini michael alikuwa Michael.

Ndio....navutiwa na nyimbo za Kiba kama Kidela, Dushelele n.k........na sina shaka na vipimo mnavyotumia kuona Kiba hapo amemzidi Diamond........hebu tuingie You Tube.......KIDELA ina view zisizozidi 50,000, ili hali MY NUMBER ONE inaelekea view 1,600,000..........Labda Kiba aanze kudeki hiyo bahari ili you tube wapate cha kuvuta view za kushindana na Diamond.

Na kama unadhani kupata view ni lelemama...waulize wasanii wote wa bongo fleva wenye kazi zao you tube.
 
mkuu FYATU ..

kiba anajiamin sana upande wa collabo na ana nyota ya kufanya wimbo uvume akishrki ndo maana akaongea maneno hayo ya dharau..

take an example nyimbo kama NAINAI,AYAYA,SABABU YA ULOFA(ALIOFANYA BACK TU),PREETY GIRL,etc..

kwanin ume dscribe maneno hayo kama dharau na si kitu kingne."?

diamoind alichomzd kiba n uwezo wa kuji-brand sana,tena kwa kutumia skendo,hv unajua kiba alikua anakula LULU lakin hajawah kujisifu kwa hilo,lakin umemsikia diamiond alivojsfu kuhusu LULU juz kat hapa.?
 
Last edited by a moderator:
Hapo Kiba amesound ki wivu zaidi.......na kama mtoto wa kiume asingepaswa kuropoka hivyo.

It sounds funny..........sasa wakicollabo ni nani atamuinua mwenzake ?

Hebu muulize Nay wa Mitego kuhusu "Muziki gani".......hayo angetamka Diamond dhidi ya Ally inge make sense....

Na sio kweli kwamba kuna MSANII asiyependa publicity.....unless iwe ni negative publicity inayomuua msanii....other wise wasioweza ku handle hiyo hali wamekwepa kuingia kwenye sanaa...nikimaanisha kuna wengi wana uwezo wa kuimba ila wametafuta shughuli nyingine kwa kutoweza kuhimili maisha ya SPOT LIGHT.......so sio kweli kwamba hapendi sifa........ukweli ni kwamba hauzi kihivyo kuwapa sababu chombo cha habari kumuwinda na kutumia rasilimali zao.
Ila Ally Kiba una asili ya uvivu kulinganisha na Diamond ambaye hata historia yake inaonyesha ni mpiganaji....asiyekaa na kusubiri....ila anatoka na kutafuta.

............Subiri kupiga deki bahari bro.........

na kama una management nzuri.........hakuna kitu kama ''negative publicity'' in entertainment industry!!!
unaweza kutumia hiyo hiyo kupiga hela mbaya kutokana na mfumo wenyewe!

and i dont really understand hiz povu za Ally K anajua kuimba blah blah!labda mi ndio sijui waimbaji wazuri...........lakini Ally K hata sio muimbaji kabisa!!kua na ''kisauti'' na kujua kuimba ni vitu viwili tofauti!.
Haimaanishi Diamond ndo anajua au vipi..but atleast show zake ziko veeeery live!sitasikia vocalz tamu tamu na maufundi ya kucheza na scale kama kwa Barnaba lakini nitaona show la hatari toka kwa Domo........huo ndo ujasiriamali wa muziki!

sasa huyu Ally huyuuuuu................aaaagh,adeki bahari tu kwakweli!
 
mkuu FYATU ..

kiba anajiamin sana upande wa collabo na ana nyota ya kufanya wimbo uvume akishrki ndo maana akaongea maneno hayo ya dharau..

take an example nyimbo kama NAINAI,AYAYA,SABABU YA ULOFA(ALIOFANYA BACK TU),PREETY GIRL,etc..

kwanin ume dscribe maneno hayo kama dharau na si kitu kingne."?

diamoind alichomzd kiba n uwezo wa kuji-brand sana,tena kwa kutumia skendo,hv unajua kiba alikua anakula LULU lakin hajawah kujisifu kwa hilo,lakin umemsikia diamiond alivojsfu kuhusu LULU juz kat hapa.?

kwenye ulimwengu wa muziki...unaji brand kwa vyovyote vile ili mradi isiwe career suicidal!!
mtazamo wangu:sio Ally K wala Diamond anaejua kuimba kiukweli!
tofauti zao nionavyo mimi ni kwamba Diamond aliona udhaifu wake kwenye vocalz.......akawekeza sana kwenye stage performance na midundo and all that!ushahidi ni mabadiliko ya rythims toka ''kamwambie'' mpaka ngololo!!,hakikisha jina lipo midomoni mwa watu hata kama huna kazi mpya,jitangaze sana,tanua soko,jaribu kitu kipya........na matokeo yanaonekana!
Ally hana mabadiliko makubwa kwenye chochote....sio uimbaji,vocalz wala rythms(i actualy find his voice very ditorting!!).kibaya zaidi anadhani anaweza tembelea nyota,kwa kutofanya bidii na kuweka nguvu kwenye muziki wake!

show za ulaya za dola 5000/= wala siwezi tumia kama kigezo cha mafanikio as nimewahi kuwepo huko wakati mmoja wa wasanii wetu kaja........ni vituko tu!.

''hii bongo bwana..wasanii wa kweli wanaojua kiukweli muziki wala hawafanikiwi..soko letu haliwataki!''.....Master Jay!
(Karola Kinasha and Rodgers Lucas comes to mind)!
 
Aly Kiba Ni Msanii Bora Kuliko Diamond Pia Ali Kiba Hachagui Collabo Uwe Underground Au Staa Yeye Anapiga Tu Tatizo Diamond Anijiona Super Staa Na Wakati Bado Sana.angalia Wasanii Kama Omy Dimpoz_nainai,seseme-ayaya,abdu Kiba Toxstar Ndo Utagundua Ali Kiba Ni Funiko
 
Back
Top Bottom