ALLY KESSY: Kila mtu anaiba umeme hata viongozi wa serikali, JKT wawasake

chinchilla coat

JF-Expert Member
May 16, 2016
5,107
10,968
Mbunge wa jimbo la Nkasi Kaskazini Ally Keissy Akichangia Makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Nishati na Madini kwa mwaka wa fedha 2016/17. pamoja na mambo mengine ametaka JKT watumike kupita nyumba kwa nyumba kuwasaka wezi wa umeme
msikiize hapa
 
"Kila mtu anaiba umeme" kwa utafiti gani alofanya akaja hii conclusion.Yaani inaonyesha ni kiasi gani tulivyochagua waropokaji.It is shame.
 
"Kila mtu anaiba umeme" kwa utafiti gani alofanya akaja hii conclusion.Yaani inaonyesha ni kiasi gani tulivyochagua waropokaji.It is shame.
Kwa hiyo na yeye ni mwizi wa umeme!!!! Hii ni kutukana wasio na tabia hizo.
 
  • Thanks
Reactions: Gut
Kwa hiyo na yeye ni mwizi wa umeme!!!! Hii ni kutukana wasio na tabia hizo.
Kwanza anatakiwa akatoe maelezo polisi.Yani ameiba umeme mpaka ameamua kujitangaza hadharani.
 
Kama kada marufu kindakindaki cepetua alikutwa kaiba umeme kwa sample hiyo ya kada wao kaona wote wapo hivyo.
 
Mwizi siku zote anafikiria watu wote ni wezi!.

Huyo ndiye mwizi wamwangalie sana.
 
Ndio raha ya kuwa mwana ccm ni wizi mwanzo mwisho si viongozi wala wanachama wote wezi tu
 
"Kila mtu anaiba umeme" kwa utafiti gani alofanya akaja hii conclusion.Yaani inaonyesha ni kiasi gani tulivyochagua waropokaji.It is shame.
Sio kweli! Mimi binafsi siibi. Na Tanesco Kama wanaibiwa kiasi hicho anashauri Nani atumbuliwe? Why JKT??!
 
Back
Top Bottom