Ally Kessy awacharukia na kuwapa makavu Wazanzibar

Kasema ukweli mtupu kabisa

Nakubaliana na wewe kodi kubwa sana Tanganyika to finance wapiga kelele wasiojitambua bungeni...

Namuomba huyu Mh apeleke ushahidi wake polisi sio kutupigia makelele bungeni,

Pili, ushahidi wangu kuhusiana na utumiaji ovyo wa pesa za kodi zetu Tanganyika kwa bunge lisilo huru, ununuzi wa bombadia zisizo na tija, matumizi mabaya serikalini na taasisi husika uko wazi labda tubane huko, ili tuweze kuagiza sukari rahisi na kodi zetu ziwe sawa na Zanzibar, kwani TRA ziko mbili??

Hakika hilo Ndio la kuongelea bungeni sio kwa makelele ya mchumia tumbo kama huyu..

Unapigia kelele sukari rahisi Znz, Tanganyika bei iko juu, chunguza tatizo liko wapi? Makelele ya huyu Mh. Ni dalili ya roho mbaya, Na kama anataka ushindani wa biashara ajiulize hayo ya juu, ni vipi kodi zetu kubwa ? and how we can remain competitive..

Hapo ndio nitamuona kidogo anaanza kutumia akili na kilichompeleka bungeni,

Hii yote roho mbaya na siasa za maji taka! Period! Ni sawa na hasidi kuhoji sanda ya maiti, “kwanini huyu Maiti anazikwa na sanda nyeupe kiasi hiki”, na wewe tafuta yako Ndio ujanja Mh Mbunge..
 
Sasa kwanini Tanganyika kodi isiwe hiyo mil 5 kama Zanzibar? Halafu anavyo ongea utadhani Zanzibar ni nchi kama comoro mana haonyeshi kama kuna muunganiko hata kidogo
 
Mama samia saidia zanzibar ipate mamlaka kamili, ona ndugu zako tunavyonyanyasika kama watoto wa nje!!
Ngoja ije kwenye issue ya kupigia kura upuuzi ndio utajua kwamba wazanzibari ukiwaacha CUF pekee walivyo kambale.

Hao wabunge wa Zenji wa CCM ni wapuuzi wakubwa. Wala sio wakuwasikiliza ndio maama Kessy anawadhalilisha tu.
 


mimi huwa nawashangaa wabunge wa CCM kutoka znz wanapotukanwa na mwehu Ali kesi hawasemi lolote. wanakaa kimya kama xxxxxxx. wanawaachia CUF waseme kama kwamba matusi hayo ni ya CUF pkeee. Cjwahi kusukia SMZ wanamjibu baradhuli huyu Ali kesi anapowatukana wazanzibari . Kukaa kimya ina maana kuwa anayoyasema Ali kesi ni ya kweli? Basi nafikiri ingekuwa busara kwa SMZ kuitisha kikao cha charura cha Baraza la Mapinduzi/ Baraza la Mawaziri/ Baraza la wawakilishi kutolea ufafanuzi wa porojo za Ali kesi ,comedian maarufu kule bungeni.
 
Back
Top Bottom