Ally Keissy: Wabunge wote tukatwe posho na mishahara ili tuichangie Wizara ya Afya, tuache tu kuilamu Serikali

The Humble Dreamer

JF-Expert Member
Oct 12, 2015
7,440
10,232
Wakuu Salaam;

"Mbona michango ya harusi tunachangia humu Bungeni…mbona sijasikia Corona inachangiwa…kazi kuilaumu tu serikali …corona corona…na sisi tukatwe posho ya siku mbili tuchangieee…”

"Ni lazima wabunge na sisi tuchangie mbona wengine wanachangia"

- Mbunge wa Nkasi Kaskazini, Ally Keissy.

Video fupi wakati akichangia mawazo yake👇👇👇👇👇

Mm sijaona shida wakatwe tu coz mbona wachadema wapo nje so wangekuwepo ndani si wangelipwa hvyo nashauri na hao ccm waliobaki wakatwe tu ,ile ya wale wa chadema wangepewa ya siku kumi na nne ambapo wapo karantini ipelekwe wizara ya afya ikasaidie huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm sijaona shida wakatwe tu coz mbona wachadema wapo nje so wangekuwepo ndani c wangelipwa hvyo nashauri na hao ccm waliobaki wakatwe tu ,ile ya wale wa chadema wangepewa ya siku kumi na nne ambapo wapo karantini ipelekwe wizara ya afya ikasaidie huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu Salaam;

"Mbona michango ya harusi tunachangia humu Bungeni…mbona sijasikia Corona inachangiwa…kazi kuilaumu tu serikali …corona corona…na sisi tukatwe posho ya siku mbili tuchangieee…”
"Ni lazima wabunge na sisi tuchangie mbona wengine wanachangia"
- Mbunge wa Nkasi Kaskazini, Ally Keissy.

Video fupi wakati akichangia mawazo yake

View attachment 1440770
Corola

"corona ipo tuchukue tahadhari"
 
Angalau Huyu katoa hoja, ingawa atanuniwa sana.maana malipo wanayolipwa wabunge hata shetani anaweza shangaa, posho ya makalio yaani sitting allowance 300,000/= kwa siku, spika kuongoza kikao 500,000/= kwa Siku.kiunua mgongo 200,000,000/= kwa miaka mitano.mishahara 12,000,000/=. Mafuta kwa mwezi Lita 1000 tukimpata rais mtetezi kwelikweli atapaswa kufyeka haya malipo.
 
Wakuu Salaam;

"Mbona michango ya harusi tunachangia humu Bungeni…mbona sijasikia Corona inachangiwa…kazi kuilaumu tu serikali …corona corona…na sisi tukatwe posho ya siku mbili tuchangieee…”
"Ni lazima wabunge na sisi tuchangie mbona wengine wanachangia"
- Mbunge wa Nkasi Kaskazini, Ally Keissy.

Video fupi wakati akichangia mawazo yake

View attachment 1440770
kumbe kuna wabunge humo hawajaolewa?
 
Hakuna Mbunge yeyote wa CCM aliyepiga Makofi..
Yani wako hapo kwa ajili ya posho halafu wewe unasema zikatwe?..!!
Siyo wa CCM tu bali ni Wabunge wa vyama vyote huwasikii kuzungumzia kuchangia katika suala la Corona bali ni kelele za lawama tu kwa Serikali. Ukitaka kuujua mshikamano wa Wabunge wote ni pale wanapojadili maslahi yao, wote wanakuwa kitu kimoja maana wote ni wapigaji tu.
 
Mm sijaona shida wakatwe tu coz mbona wachadema wapo nje so wangekuwepo ndani si wangelipwa hvyo nashauri na hao ccm waliobaki wakatwe tu ,ile ya wale wa chadema wangepewa ya siku kumi na nne ambapo wapo karantini ipelekwe wizara ya afya ikasaidie huko

Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani kama kuna mbunge wa ccm yuko tayr kukatwa akiwa anaona.
 
Back
Top Bottom