*MCT NA MISA TAN NDIO WAMECHOKA HIVI? HAWA WAFUTWE TU, HAWANA KAZI*
Matamko mawili ya taasisi za habari MISA TAN na MCT yametoa mshangao kwa wengi kuhusu mwanahabari Eric Kabendera. Yote yameingilia mchakato wa kisheria unaoendelea.
Katika tamko la MISA TAN ambalo cha ajabu linatumia lugha ya kiingereza (sijui wamemwandikia nani maana wapo waandishi wengi hapa nchini ambao hawajui Kiingereza).Sijui wanapeleka ujumbe kwa nani? Au wamepewa tamko🤦🏻♂
Lakini kituko cha taarifa yao pia ni kutumia neno "abduction" yaani kutekwa.
Nashindwa kuwaelewa!!Yaani pamoja na taarifa zote za Idara za polisi na Uhamiaji kusema wao ndio wamemkamata Kabendera na wanamuhoji bado una taasisi ya Habari inga'ng'ania kuwa "katekwa." Hii ni aibu kwa nchi na taaluma.
MCT ndio kabisa hata tarehe hawana ktk tamko lao lakini pia wanavitaka vyombo vya dola vimwachie Kabendera!!
Bahati mbaya wengine hatuna mamlaka tu, ningeluwa mimi ningefuta kabisa wajinga hawa yani NGO inawaagiza polisi wamwachie mtuhumiwa wa uhalifu?Waachiwe watuhumiwa wangapi?
Badala ya kutaka sheria zitekelezwe na au kumpa utetezi wa kisheria mtuhumiwa wao wanataka sheria zivunjwe kwa kumwachia mtuhumiwa wa ubalifu, kisa mwanahabari?
Hizi taasisi za habari zimechoka sana kwa kweli. Ndio chanzo cha uandishi wenyewe nchini kushuka mno. Nashauri zifutwe.
Ally Hamza, mwanablogu, Dar.