Ally Hamza: Taarifa Ya MCT na MISA TAN Kuhusu Kukamatwa Kwa Kabendera Siyo Ya Kiueledi

Ekethocho

Senior Member
Jul 19, 2018
100
250
*MCT NA MISA TAN NDIO WAMECHOKA HIVI? HAWA WAFUTWE TU, HAWANA KAZI*

Matamko mawili ya taasisi za habari MISA TAN na MCT yametoa mshangao kwa wengi kuhusu mwanahabari Eric Kabendera. Yote yameingilia mchakato wa kisheria unaoendelea.

Katika tamko la MISA TAN ambalo cha ajabu linatumia lugha ya kiingereza (sijui wamemwandikia nani maana wapo waandishi wengi hapa nchini ambao hawajui Kiingereza).Sijui wanapeleka ujumbe kwa nani? Au wamepewa tamko🤦🏻‍♂️

Lakini kituko cha taarifa yao pia ni kutumia neno "abduction" yaani kutekwa.
Nashindwa kuwaelewa!!Yaani pamoja na taarifa zote za Idara za polisi na Uhamiaji kusema wao ndio wamemkamata Kabendera na wanamuhoji bado una taasisi ya Habari inga'ng'ania kuwa "katekwa." Hii ni aibu kwa nchi na taaluma.
MCT ndio kabisa hata tarehe hawana ktk tamko lao lakini pia wanavitaka vyombo vya dola vimwachie Kabendera!!
Bahati mbaya wengine hatuna mamlaka tu, ningeluwa mimi ningefuta kabisa wajinga hawa yani NGO inawaagiza polisi wamwachie mtuhumiwa wa uhalifu?Waachiwe watuhumiwa wangapi?
Badala ya kutaka sheria zitekelezwe na au kumpa utetezi wa kisheria mtuhumiwa wao wanataka sheria zivunjwe kwa kumwachia mtuhumiwa wa ubalifu, kisa mwanahabari?
Hizi taasisi za habari zimechoka sana kwa kweli. Ndio chanzo cha uandishi wenyewe nchini kushuka mno. Nashauri zifutwe.
Ally Hamza, mwanablogu, Dar.
 
TataMadiba

JF-Expert Member
Feb 7, 2014
9,877
2,000
Acha kulalama lalama...ungeweka na hayo matamko tuyaone,
Mkuu wewe uko dunia ipi? ina maana hujaona kokote kuwa Polisi na Uhamiaji wamemuongelea Kabendera? Kwa mujibu wa Taarifa ya Uhamiaji, Kabendera ana hati 7 za kusafiria, katika hali ya kawaida unadhani huyo ni mtu kawaida?
 
mwakajingatky

JF-Expert Member
May 30, 2018
552
1,000
Mkuu wewe uko dunia ipi? ina maana hujaona kokote kuwa Polisi na Uhamiaji wamemuongelea Kabendera? Kwa mujibu wa Taarifa ya Uhamiaji, Kabendera ana hati 7 za kusafiria, katika hali ya kawaida unadhani huyo ni mtu kawaida?
Ayo matamko ya polisi na uhamiaji nimeyaona...mbona ataivo inshu ilishaisha tangu 2013,na tume iliundwa,na ikathibitika jamaa hana shida,zaidizaidi uhamiaji ndio waliomkosea,pamoja na wazazi wake

Matamko niliokua nayasema ni hayo unayoyalalamikia,ya MCT na MISA TAN
 
mitigator

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
4,839
2,000
*MCT NA MISA TAN NDIO WAMECHOKA HIVI? HAWA WAFUTWE TU, HAWANA KAZI*

Matamko mawili ya taasisi za habari MISA TAN na MCT yametoa mshangao kwa wengi kuhusu mwanahabari Eric Kabendera. Yote yameingilia mchakato wa kisheria unaoendelea.

Katika tamko la MISA TAN ambalo cha ajabu linatumia lugha ya kiingereza (sijui wamemwandikia nani maana wapo waandishi wengi hapa nchini ambao hawajui Kiingereza).Sijui wanapeleka ujumbe kwa nani? Au wamepewa tamko🤦🏻‍♂️

Lakini kituko cha taarifa yao pia ni kutumia neno "abduction" yaani kutekwa.
Nashindwa kuwaelewa!!Yaani pamoja na taarifa zote za Idara za polisi na Uhamiaji kusema wao ndio wamemkamata Kabendera na wanamuhoji bado una taasisi ya Habari inga'ng'ania kuwa "katekwa." Hii ni aibu kwa nchi na taaluma.
MCT ndio kabisa hata tarehe hawana ktk tamko lao lakini pia wanavitaka vyombo vya dola vimwachie Kabendera!!
Bahati mbaya wengine hatuna mamlaka tu, ningeluwa mimi ningefuta kabisa wajinga hawa yani NGO inawaagiza polisi wamwachie mtuhumiwa wa uhalifu?Waachiwe watuhumiwa wangapi?
Badala ya kutaka sheria zitekelezwe na au kumpa utetezi wa kisheria mtuhumiwa wao wanataka sheria zivunjwe kwa kumwachia mtuhumiwa wa ubalifu, kisa mwanahabari?
Hizi taasisi za habari zimechoka sana kwa kweli. Ndio chanzo cha uandishi wenyewe nchini kushuka mno. Nashauri zifutwe.
Ally Hamza, mwanablogu, Dar.
pumbavu
 
Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
11,745

Pale njaa inapomaliza tumbo na kuhamia kichwani.....hahahahaaa. Ndio type za magufuli wa awamu ya tano hawa.
 
Tate Mkuu

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
4,299
2,000
Sasa mtoa mada unatutaka tuchukue hatua gani baada ya wewe kuyasoma hayo matamko na kuyaona hayana weledi? Au na sisi tuunge mkono kulalamika?
 
Elli Mshana

Verified Member
Mar 17, 2008
40,041
2,000
Bahati mbaya wengine hatuna mamlaka tu, ningeluwa mimi ningefuta kabisa wajinga hawa yani NGO inawaagiza polisi wamwachie mtuhumiwa wa uhalifu?Waachiwe watuhumiwa wangapi?
Siku yakikukuta useme hivyo hivyo na wewe, it's a matter of time.
 
Elice Elly

JF-Expert Member
Dec 9, 2018
1,275
2,000
Mkuu wewe uko dunia ipi? ina maana hujaona kokote kuwa Polisi na Uhamiaji wamemuongelea Kabendera? Kwa mujibu wa Taarifa ya Uhamiaji, Kabendera ana hati 7 za kusafiria, katika hali ya kawaida unadhani huyo ni mtu kawaida?
Acha uwongo.Polisi wameondoka na hati saba za kusafiria moja ni ya kabendera na sita ni za ndugu zake.Siyo kwamba zote saba ni zake
 
issenye

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
2,553
2,000
Mkuu wewe uko dunia ipi? ina maana hujaona kokote kuwa Polisi na Uhamiaji wamemuongelea Kabendera? Kwa mujibu wa Taarifa ya Uhamiaji, Kabendera ana hati 7 za kusafiria, katika hali ya kawaida unadhani huyo ni mtu kawaida?
KUWA NA HATI SABA ZA KUSAFIRIA NDIO KUNASABABISHA ASKARI WAENDE BILA UTAMBULISHO, PIA WASUBIRI HADI KELELE ZIPIGWE NDIPO WASEME KUWA NI WAO WANAMSHIKILIA
 
Evarist Chahali

Verified Member
Dec 12, 2007
797
1,000
*MCT NA MISA TAN NDIO WAMECHOKA HIVI? HAWA WAFUTWE TU, HAWANA KAZI*

Matamko mawili ya taasisi za habari MISA TAN na MCT yametoa mshangao kwa wengi kuhusu mwanahabari Eric Kabendera. Yote yameingilia mchakato wa kisheria unaoendelea.

Katika tamko la MISA TAN ambalo cha ajabu linatumia lugha ya kiingereza (sijui wamemwandikia nani maana wapo waandishi wengi hapa nchini ambao hawajui Kiingereza).Sijui wanapeleka ujumbe kwa nani? Au wamepewa tamko

Lakini kituko cha taarifa yao pia ni kutumia neno "abduction" yaani kutekwa.
Nashindwa kuwaelewa!!Yaani pamoja na taarifa zote za Idara za polisi na Uhamiaji kusema wao ndio wamemkamata Kabendera na wanamuhoji bado una taasisi ya Habari inga'ng'ania kuwa "katekwa." Hii ni aibu kwa nchi na taaluma.
MCT ndio kabisa hata tarehe hawana ktk tamko lao lakini pia wanavitaka vyombo vya dola vimwachie Kabendera!!
Bahati mbaya wengine hatuna mamlaka tu, ningeluwa mimi ningefuta kabisa wajinga hawa yani NGO inawaagiza polisi wamwachie mtuhumiwa wa uhalifu?Waachiwe watuhumiwa wangapi?
Badala ya kutaka sheria zitekelezwe na au kumpa utetezi wa kisheria mtuhumiwa wao wanataka sheria zivunjwe kwa kumwachia mtuhumiwa wa ubalifu, kisa mwanahabari?
Hizi taasisi za habari zimechoka sana kwa kweli. Ndio chanzo cha uandishi wenyewe nchini kushuka mno. Nashauri zifutwe.
Ally Hamza, mwanablogu, Dar.
First-they-came-for-the-Socialists-and-I-did-not-s.jpeg
 
KeyserSoze

JF-Expert Member
Feb 26, 2014
3,523
2,000
hawa yani NGO inawaagiza polisi wamwachie mtuhumiwa wa uhalifu?Waachiwe watuhumiwa wangapi?
Badala ya kutaka sheria zitekelezwe na au kumpa utetezi wa kisheria mtuhumiwa wao wanataka sheria zivunjwe kwa kumwachia mtuhumiwa wa ubalifu, kisa mwanahabari?
Je Mtuhumiwa ni Muhalifu ?

Huu ndio upunguani wa kutukana mamba wakati haujavuka mto..., wewe mwenyewe unajiita una-blog i.e. unatoa habari alafu unatukana chombo cha kuwasaidia wanahabari..., nadhani walioleta neno uchwara walimaanisha wewe
 
doup

JF-Expert Member
Feb 26, 2009
2,171
2,000
Mkuu wewe uko dunia ipi? ina maana hujaona kokote kuwa Polisi na Uhamiaji wamemuongelea Kabendera? Kwa mujibu wa Taarifa ya Uhamiaji, Kabendera ana hati 7 za kusafiria, katika hali ya kawaida unadhani huyo ni mtu kawaida?
Hivi umefatilia vizuri hii taarifa kwa kina, au umesoma tu heading ukaja mbio kuandika. Kwa taarifa yako katika hati 7 yakwake ni moja tu zilizobaki ni za wanafamilia yake.

Sasa kwa kutokuwa makini kwako ushayuhumu na kumuukumu.

Tuwe makini. Utaratibu wa kumtia nguvuni ndio una mashaka ikiwemo kukatia mawasiliano.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom