Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 13,495
- 51,089
Watu wengine wanashindwa kutumia hekima, huyo alitakiwa akatae kujibu hilo swali kwa sababu ya "Conflict of Interests", Sasa amekwenda kujiadhiri.
Linapokuja suala la Katiba ya nchi, mtu unaweka pembeni maslahi yako binafsi, Maana kila mtu akiweka mbele maslahi ya familia yake kwanza kabla ya Taifa kutakuwa na nchi? —Au Bananga anafikiri yeye ndo mwenye familia peke yake Tanzania hii?