Ally Bananga: Nina kiapo na mke wangu, nitamlinda kwa gharama ya damu yangu

Hahahaa inabidi awe anapiga sana mchuzi wa pweza na puturu ili aendelee kuheshimika maana ukiwa marioo inabidi usimamie kucha.
Kabisa....maana jamaa anajifanya yeye ndo anampenda mke wake kuliko wengine kumbe jamaa anamendea kamshahara....kingine Hana lugha ya mtu mzima zaidi ya maneno ya kihuni mdomoni mwake....na hapo chadema inakosea Sana kuwapa dhamana watu wa aina hii...ngoja aje akutane na kidume kinamla mke wake ndo akili itavujia ....yeye anafikiri ubunge wa mke wake ni wabure....
 
Tatizo la upinzani kila mtu ni kambale, Mambo haya huwezi yakuta Sana CCM mnakumbuka nape alipigwa mkwara na ndugai kuhusu wabunge 19.Nape akatulia kiimya.Hakubwatukabwatuka Kama kina bananga.
 
Bananga kukosa nafasi ya kugombea ubunge Arusha Mjini amechanganyikiwa kabisa, alijaribu kuchukua form wajumbe wakamuonesha hawana imani nae kabisa kwa zile kura kiduchu alizoambulia, sasa naona anatafuta sababu ya kuondokea Chadema, bora ajiondokee tu akajiunge na marafiki zake kina Sabaya.

Ilifaa zama za ccm ya mwendazake kuunga juhudi angalau angeambulia chochote
 
Sio sababu ya mkewe kuwa mbunge, Bananga ni akili kubwa.... anajua kuishi ndani ya itikadi bila kuathiri jamii
Bananga hanaga akili za kushikiliwa
Kwa hiyo mkewe hata akitenda uovu atamlinda tu? Kwa Nini asimsaidie kumwondoa kwenye songombingo la kupata ubunge usiostahili? Je viapo vyao huko msikitini viliruhusu kula hata visivyostahili?
 
Mkuu kwa hapo i stand with bananga,jamaa ni very smart aisee

kuna itikadi na kuna family.
Kuna kanuni inasema mwanamke wako ni jukumu lako kusmama upande wake hata kama ana onekana kakosea kias gani kwenye jamii stand with her,,
Mwanamke anarekebishwa mkiwa wawili ndani tartibu ila nje lazma umheshimishe na umuonyeshe you stand with her.
Na hii ndo mbinu ya kivita kum badilisha mwanamke tabia yeyote usioipenda.
chkua iyo kama ulikua hufaham.
Ukimsagia kunguni nje ndo unaharibu kila kitu.
Mkuu hizo ndo busara za suleiman.
Haahaa, kazi ipo....
 
Chadema ni kikundi cha Sacco's woteeee, ni maslahi tu. Na kila mtu kwa wakati wake Akifika bei Basi lazma mtamuona msaliti wakati nanyi mkisubiri watu wapande dau.

Hao kina mdee wote pia mliwaita makamanda kwa nyimbo na mapambio leo wamefika bei, si bure ndo Mana tulikaa pembeni na Slaa wetu ambaye naye Alifika bei.

Hakuna chama hapa ni kikundi cha wasanii tu
 
Akishalipwa mke wake zinasaidia familia.Mnataka asimame nanyi mnaitunza familia?
Kwa mwanaume makini hakustahili ajibie hoja zakikatiba kupitia mke wake,
Ameuza utu wake kwa maslahi ya wawili na si taifa.
SIKU NYINGINE ANYAMAZE TU.
Umemaliza tufunge mjadala.
 
"Mimi ni mwanachama wa CHADEMA, Suala la wabunge 19 wa viti maalumu ambao Chama chetu kinasema hakiwatambui, mke wangu (Hawa Bananga) pia ni miongoni mwao na katika vitu ambavyo nimekuwa nikijiepusha kuvizungumza ni suala hili kwasababu bado maamuzi yako ndani ya chama,

Kuliweka hili kwa ufupi mimi nitasimama aliposimama mke wangu kwasababu sikufunga naye ndoa CHADEMA, sikufunga naye ndoa mitandaoni nilifunga naye ndoa msikitini, kiapo changu kwake ni kumlinda kwa gharama ya damu yangu....

Lolote lenye udhaifu kwake ni wajibu wangu kulipa uimara, ndio kitu cha thamani ninachomiliki, nitamlinda mama wa watoto wangu

"-Mwanasiasa Ally Bananga kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

Chanzo: Star TV
Njaa inakusumbua Siku watakapofukuzwa Bungeni na kuambiwa Warudishe hizo Pesa tutaona kama Utasimama nae
 
Chadema mpaka leo hawajui ni kipi Bora cha kusimama na kukisimamia, mara Daimond, mara wabunge 19, mara katiba, mara mwendazake, mara mfumo, sijui All Hapo, kila kitu wanagusagusa tu, hawana aganda ya pamoja

Wamepoteana hawaeleweki, na sasa agenda nyingine imeongezeka ya Bananga
 
"Mimi ni mwanachama wa CHADEMA, Suala la wabunge 19 wa viti maalumu ambao Chama chetu kinasema hakiwatambui, mke wangu (Hawa Bananga) pia ni miongoni mwao na katika vitu ambavyo nimekuwa nikijiepusha kuvizungumza ni suala hili kwasababu bado maamuzi yako ndani ya chama...
Jana nimemwangalia yule siyo CHADEMA hata robo bora tu arudi nyumbani kwake CCM
 
Back
Top Bottom