Uchaguzi 2020 Ally Bananga atia nia ubunge Arusha mjini - CHADEMA

Bananga na Lema hekima itumike, Lema ajikite kujenga chama kama alivyofanya Mnyika. Ni wakati tuachie damu mpya bungeni na jimboni ili kuleta creativity.
 
Lema, Msigwa, Mdee na Sugu tafteni majimbo mapya chukueni mfano kwa zitto alitumikia jimbo kwa miaka 10 akaona ahamie kgm town miaka kumi jimbo moja inatosha, zaidi ya hapo unajijengea mazingira Fulani ya kuchokwa!
 
Lema mwenyekiti wa Kanda inatosha ....Twende na Bananga ...
 
Standards zitazotumika pale Lumumba Zinaitwa ITATEGEMEA NIMEAMKAJE .
Sio kweli stds Lema yuko vizuri bungeni kwa hoja hata Ars Alibuni miradi mingi ya maendeleo akakwamishwa na Gambo na setikali!!
Hata Hsp waliizima wadai ni mradi wa serikali na kuzuia wafadhiri!!
Jimbo lenye upinzani serikali inajitahidi saana kufanya maendeleo!!
 
Lema anaua jimbo tu ....twende na Bananga kamanda ...
 
Ili kutaka kujua kama anasifa za kuwa mbunge wa Arusha:
1. Jee ni Mchaga.
2. Ana nasaba zozote na waasisi wa chadema.
3. Ana ukaribu wowote wa kindugu, kijamaa, urafiki.
4. Jee ni mtiifu kwa Mbowe na genge lake ndani ya chama.
5. Ana msaada wowote kwa wafanyi biasha wakubwa na wasogo wa kichaga waliopo katika kata anazohidimia, hao ndio waxhangia wakubwa wa Mbowe na chama.
Acha mambo ya ukabila, halafu wewe una nagativity na CDM unasema mbowe na genge lake!!
Wapiga kura Ars sio wachaga pekee, kuna mchanganyiko wa watu.
Lema anakubalika na watu wote kiujumla, waulize machinga, bodaboda, haice, kila mahali Lema anakubalika kasoro kwa CCM na vibaraka wake.
Hao ndo wanampiga vita, tusubiri matokeo ya mkutano wa CDM uamue kwa kura!!
 
Alikuwa anakubalika, sio sass. Infact hata 2015 angeweza kuondolewa ila CCM walifanya kauzembe.
 
Mwishoni huku wakati wa hama hama nahisi kama Ally nae alipotoka kdg hakua strong, bado Lema anahitajjika hapo Arusha. Uyu Bananga atamuuzia best wake Msando Jimbo mapema tu.
Bananga ni msando na msando ni bananga
Bananga mtupu sana kisiasa
Kuna wivu unawasumbua watu kuhusiana na Lema

GO LEMA GO!
Lema ni mzalendo na Mwanasiasa wengine ni wachafuzi
 
Bananga ni msando na msando ni bananga
Bananga mtupu sana kisiasa
Kuna wivu unawasumbua watu kuhusiana na Lema

GO LEMA GO!
Lema ni mzalendo na Mwanasiasa wengine ni wachafuzi
Bananga yuko vzr, anauwezi mzuri tu wa kujenga hoja. Lema awapishe wenzake miaka 10 inamtosha.
 
Bananga yupo kimkakati na akishindwa atajiunga ACT ili agawanye kura
 
Wakuu,

Mwanasiasa maarufu nchini na aliyekuwa diwani wa Sombetini jijini Arusha kupitia CHADEMA Ally Bananga ametia nia ya kugombea ubunge Arusha mjini kupitia CHADEMA.

Kwa wanaofahamu siasa za Arusha wanajua hili ni jaribu kubwa sana kwa CHADEMA kuonesha ukomavu bila kuivunja rasmi ngome yao kuu ya upinzani jijini Arusha na kufanya CCM ishinde kirahisi kuliko uchaguzi wowote uliowahi kufanyika Arusha.

Inawezekana kuna kundi kubwa la madiwani/wanachama wanaotaka kufanya kazi na mtu mwingine na wamemtuma Bananga kutuma ujumbe wao. Sasa unahitajika ukomavu mkubwa kuvuka hili bila kupasua chama.

Binafsi naona Ally Bananga ni mwanasiasa mkomavu anayeweza kushirikiana na wananchi, wanachama, madiwani na serikali kuletea maendeleo wananchi tofauti na Lema ambaye harakati zake zinafaa kutafutiwa kazi zingine za chama na nafikiri kuwa kiongozi wa kanda inatosha.

Kila lakheri Ally Bananga, operations zako kama diwani na kiungo muhimu wa CHADEMA na wananchi hapo Arusha unastahili kumpokea kijiti Mh. Lema maana unajua shida za wana Arusha kiuhalisia zaidi.
Akishinda kura za maoni apewe
 
Bananga amekua mwanasiasa bora na Diwani bora sana kwangu kwa kipindi chote cha udiwani. Hongera sana kwake... ndani ya chama anachuana na Lema na akipita kule nje ya chama atapambana swahiba yake Msando.
All the best brother hiyo ndio demokrasia
Kwani msando kashapitishwa?

JESUS IS LORD
 
Back
Top Bottom