Ally Bananga aapa kuwatawanya viungo madiwani wa CHADEMA wanaohama ndio demokrasia wanayohubiri?

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Katika hali isiyo ya kawaida diwani wa Sombetini kupitia CHADEMA Ally Bananga ameapa kuwatawanya viungo madiwani au wafuasi wanatak kutumia haki yao kikatiba kuhama CHADEMA. Kabla ya kwenda mbali ninataka niakumbushe CHADEMA yafuatayo hivi leo Lowassa angegawanywa viungo kisa kujitoa CCM mngekuwa na mgombea urais 2015? Ally Bananga mwenyewe ni kapi la CCM na yeye agawanywe viungo?

Kwa kauli hii nimehakikisha ya kwamba yeyote mwenye mawazo mbadala ndani ya CHADEMA ni adui, Alianza Wangwe, wakafuata akina Zitto,Kitila na wenzao....Wote tumuombee Tundu Lissu apone haraka kwani wagawanyisha viungo wamo ndani ya CHADEMA.
 
Umeshakuwa Waziri jiepushe na siasa chafu ulizozoea kuzileta mitandaoni. Jifunze kwa mwenzako akina Mwigulu Nchemba.
 
Katika hali isiyo ya kawaida diwani wa Sombetini kupitia CHADEMA Ally Bananga ameapa kuwatawanya viungo madiwani au wafuasi wanatak kutumia haki yao kikatiba kuhama CHADEMA. Kabla ya kwenda mbali ninataka niakumbushe CHADEMA yafuatayo hivi leo Lowassa angegawanywa viungo kisa kujitoa CCM mngekuwa na mgombea urais 2015? Ally Bananga mwenyewe ni kapi la CCM na yeye agawanywe viungo?

Kwa kauli hii nimehakikisha ya kwamba yeyote mwenye mawazo mbadala ndani ya CHADEMA ni adui, Alianza Wangwe, wakafuata akina Zitto,Kitila na wenzao....Wote tumuombee Tundu Lissu apone haraka kwani wagawanyisha viungo wamo ndani ya CHADEMA.
Haya ni majungu. Weka source ya habari yako tafadhali
 
Back
Top Bottom