Allen and Kasie....

Mie Bi Zuhra anitosha hata nikiibiwa nina alarm, lock na GPS system itakuwa kazi bure tu.

Halooo.
Good!!, next time make sure your security systems are fully set otherwise you'll be lost for good.

And... as long as huibiwi basi hakuna mtu anaibiwa hapa...
.
 
Good!!, next time make sure your security systems are fully set otherwise you'll be lost for good.

And... as long as huibiwi basi hakuna mtu anaibiwa hapa...
.
Mtu mzima haibiwi, labda atazimwa tu.
 
Hahahahahahaaa huyo kwisha habari yake... aliichezea shilingi wakati haurudi tena...
Vibaya hivyo ujue hebu mpe nafasi ya mwisho au kwa sababu ametangaza nia kwingine kwani naona full kubebisha ha ha ha
 
Mtu mzima haibiwi, labda atazimwa tu.

Well answered, this should be the answer to the first question you ask earlier.....

"UNA UHAKIKA HAIBIWI MTU HAPA"....

aahahahahahahaaa catch you hihihihihiiiiii
 
Well answered, this should be the answer to the first question you ask earlier.....

"UNA UHAKIKA HAIBIWI MTU HAPA"....

aahahahahahahaaa catch you hihihihihiiiiii
Just checking, just checking.

Cheers.
 
Mzima cousin wangu?

Nilikuwa nasubiri uje moyo wangu upate faraja.

Hakika nakuhakikishia nimepata faraja Binamu nyama ya hamu

Wee cousin hahahahaa utakuwa unatafuta kaleb ya pili wewee Ile ya S.A. haikukutosha naona hehehehe

Hebu nisaidie kitu binamu, hivi BINAMU NYAMA YA HAMU kwa kiingereza naandikaje?

Bado moyo unapwitia unyayoni au umesharudi mahala pake???!! Heheheheheheheee
 
Vibaya hivyo ujue hebu mpe nafasi ya mwisho au kwa sababu ametangaza nia kwingine kwani naona full kubebisha ha ha ha

Imeshatoka hiyoo ikirudi panchaaa hahahahahahaaa mpelekee salamu unazozisoma hapa....
Vibaya hata sivijui mwenzangu nia atangaze yeye ubaya niupate mie khaaa....

Cool kasie.
 
I checkmate all the checked checkers and cheque the Czech cakes to check the counterfeit.
Tafadhali usiniharibie uzi wangu kule ok???mambo ya wanawake hayakuhusu utulie,naona unaleta upuuzi wako ktk uzi wangu ,mxiuueeeeeeeeee
 
Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom